All Time Top Ten of Conflict
- Charlotte's Web (filamu ya 1973)
- Charlotte's Web ni filamu ya katuni-muziki iliyotolewa mwaka wa 1973. Filamu ilitayarishwa na Hanna–Barbera Productions na Sagittarius Productions, na kutolewa kwenye makumbi mnamo tar. 1 Machi 1973 wa Paramount Pictures. Hii filamu msingi juu ya kitabu cha watoto 1952 wa jina sawa na E. B. White. Ya filamu, kama kitabu, ni juu ya nguruwe ambao ni kuokolewa kutoka kuwa kuchinjwa na buibui wa akili aitwaye Charlotte. Ni ya kwanza katika filamu tatu pekee za Hanna-Barbera zisizoshirikishwa na katuni zao
- The Fox and the Hound
- The Fox and the Hound ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1981. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney Productions, na kutolewa kwenye kumbi za filamu tarehe 10 Julai 1981 na Buena Vista Distribution. Hii ni filamu ya ishirini na nne kutolewa katika mfululizo wa Walt Disney Animated Classics, na inatokana na kitabu cha Daniel P. Mannix chenye jina sawa na la filamu hii, na inahusu urafiki wa mbweha Tod na mbwa Copper
- Wikipedia
- Wikipedia ni kamusi elezo huru ya lugha nyingi katika mtandao wa wavuti. Inalenga kukusanya elimu nyingi iwezekanavyo na kuisambaza kwa njia ya intaneti
- Marekani
-
Muungano wa Madola ya Amerika, inajulikana pia kama Marekani, ni nchi inayopakana na Kanada na Meksiko katika Amerika ya Kaskazini, mbali ya kuundwa pia na visiwa vya Hawaii
- Kiswahili
- Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (35%), lakini sasa ya Kiingereza pia (10%), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki
- Muhammad
- Muhammad anaaminika katika dini ya Uislamu kuwa ni mtume wa mwisho wa Mungu (Allah) kwa binadamu
- Dumbo
- Dumbo ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1941. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 23 Oktoba 1941 na RKO Radio Pictures. Hii ni ya 4 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za Walt Disney. Filamu inatokana na kitabu cha Helen Aberson na Harold Pearl chenye jina sawa na hili la filamu hii
- California
- California ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kusini ya nchi. Iko kwenye pwani ya Pasifiki ikipakana na Meksiko
- Asia
- Asia ni bara kubwa kabisa kuliko mabara yote mengine ya dunia. Bara hili lina eneo la kilomita za mraba 44,579,000, ambalo ni sawa na asilimia 30% ya ardhi yote. Wakazi wa bara la Asia ni 3,701,000,000 kwa mujibu wa makisio 2003
- Denmark
- Udani ni ufalme wa Ulaya ya Kaskazini. Ni nchi ndogo kati ya nchi za Skandinavia