2022 Top Ten of Conflict

Vladimir Putin
Vladimir Vladimirovich Putin, ni mwanasiasa wa nchini Urusi. Mara nne alichaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi, mara ya mwisho kwenye mwaka 2018; awamu za kwanza zilikuwa kutoka 2000 hadi 2008. Kuanzia Agosti 1999 hadi Mei 2000, tena kuanzia 2008 hadi 2012 alikuwa waziri mkuu wa Urusi. Baadaye aligombea tena uraisi aliporudishwa mwaka 2018
Zuhura Yunus
Zuhura Yunus ni mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu na mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo Tanzania. Ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 1 Februari 2022
California
California ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kusini ya nchi. Iko kwenye pwani ya Pasifiki ikipakana na Meksiko
Ontario, California
Ontario ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 170,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 282 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 129 kmĀ²
Shawn Mendes
Shawn Mendes ni mwimbaji wa Kanada
Baraza la Kiswahili la Taifa
BAKITA ni kifupi cha Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania
Ushoga
Ushoga ni mwelekeo wa kimapenzi unaokwenda tofauti na kawaida inayofanya mwanamume na mwanamke kupendana na kuzaliana katika familia. Jinsia hizo mbili zinalenga kukamilishana katika ndoa kwa kupendana na kuzaliana
Kate Maki
Kate Maki ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Kanada
Inglewood, California
Inglewood ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, kuna wakazi wapatao 112,000 wanaoishi katika mji huo
Mfumo wa uendeshaji
Katika utarakilishi, mfumo wa uendeshaji ni programu ya mfumo unaodhibiti vifaa, programu tete, rasilimali ya tarakilishi na unaotoa huduma kwa programu ya tarakilishi