2020 Top Ten of Conflict

Iggy Azalea
Amethyst Amelia Kelly ni rapa, mwimbaji, mwandishi wa wimbo, mwanamitindo na mkurugenzi wa video ya muziki wa Australia
Kisawe
Kisawe ni neno lenye maana ileile ya neno lingine; kwa mfano jogoo kisawe chake ni kikwara, bamia kisawe chake ni binda na mengineyo, kama vile nyanya-bibi, tembo-ndovu, mtu–mja-adinasi-mahuluki-insi-binadamu, rafiki–msena-mwandani-bui, ugonjwa-maradhi
Mbwana Samatta
Mbwana Ally Samatta ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania katika klabu ya Feberbahce nchini Uturuki. Mbwana ni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na kabla ya ya kuhamia klabu ya Feberbahce (Uturuki) alikuwa akichezea timu ya Aston Villa ya nchini Uingereza
Mto
Mto ni mwendo asilia wa maji yanayofuata njia yake kwenye mtelemko hadi mdomoni wake
Orodha ya watu maarufu wa Tanzania
Orodha hii inataja majina zaidi ya 1,000 ya Watanzania maarufu katika uwanja wowote. Baadhi wako hai na wengine wameshakufa
Offset
Kiari Kendrell Cephus ni rapa, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Lawrenceville, Georgia, Marekani
Alois Nashali
Alois Nashali ni mwongozaji wa filamu na mwandishi wa vitabu mwenye makazi yake nchini Canada
Mlipuko wa virusi vya corona 2019-20
Mlipuko wa Virusi vya Korona ulibainika rasmi tarehe za katikati za mwezi Desemba mwaka 2019 katika mji wa Wuhan huko China ya kati. Ulikuwa kikundi cha watu wenye nimonia bila chanzo kinachoeleweka. Ulibanika baadaye kama aina mpya ya virusi vya korona
Watu weusi
Watu weusi ni msamiati unaotumika mara nyingi kumaanisha watu kutoka Afrika kusini kwa Sahara au watu wenye asili kutoka hapa
Peter Mitchell
Peter Dennis Mitchell alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza nishati ndani ya chembe hai. Mwaka wa 1978 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia