2019 Top Ten of Conflict

Palmdale, California
Palmdale ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 151,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 810 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 272 km²
Intaneti
Intaneti ni mfumo wa kushirikiana kwa kompyuta nyingi unaowezesha tarakilishi mbalimbali duniani kuwasiliana kati yake. Kupiti le-corps.coma mtandao huo, watu huweza kutembelea tovuti mbalimbali, kupiga gumzo, na kuandikiana barua pepe
Buza
Buza ni kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 15125
Picha ya kiwamba
Screenshot ni picha ya kiwamba au skrini ya kompyuta. Katika Windows ni kazi rahisi kabisa
Cannabidiol
Cannabidiol ni kiungo cha kemia kinachopatikana kiasilia katika bangi (Cannabis
Baila
"Baila" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 12 Julai, 2018 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akiwa na Miri Ben-Ari kutoka nchini Marekani kwenye violin. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Tandale na wa 11 kutolewa kama singo kutoka katika albamu hiyo. Wimbo umetayarishwa na Laizer Classic kupitia studio za Wasafi Records
Filamu
Filamu ni mfululizo wa picha zinazoonyesha mwendo wa watu au vitu na kuonekana mbele ya watazamaji kwenye skrini. Ni aina ya mawasiliano yanayotumiwa kutolea hadithi au kuwaelezea watu kuhusiana na kujifunza fikra au mitazamo mipya katika jamii
Fasihi
Fasihi ni utanzu (tawi) wa sanaa ambao hutumia lugha ya mazungumzo au maandishi ili kufikisha (kuwasilisha) ujumbe kwa hadhira husika. Ni ufundi wa kuwasilisha mawazo au ujumbe ulio katika fikra za binadamu
Nairobi
Nairobi ni mji mkuu wa jamhuri ya Kenya na vilevile mojawapo ya kaunti za Kenya
Kiongozi (ndege)
Viongozi, vijumbe, walembe au ndege wa asali ni ndege wadogo wa familia Indicatoridae. Kwa kawaida jina “mlembe” hutumika kwa spishi za jenasi Prodotiscus na “kiongozi” kwa spishi nyingine. Ndege hawa wana rangi za kijivu, kahawa na nyeupe, pengine njano pia. Wabobea kwenye kula nta, kwa kawaida nta ya nyuki, lakini walembe na spishi ndogo za viongozi hula nta ya wadudu-gamba. Wanaitwa kiongozi kwa sababu spishi kadhaa huongoza watu na wanyama kama nyegere mpaka masega ya nyuki. Watu au nyegere