Yondo Sister
Yondo Kusala Denise ambaye anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Yondo Sister, ni msanii wa Kikongo. Wengi humwita "malkia wa soukous", "Tina Turner" wa muziki wa dansi barani Afrika.
Yondo Sister amepata kuwa mwimbaji mkuu katika bendi ya Soukous Stars kwa miaka kadhaa kabla ya kwenda kufanyakazi kama msanii wa kujitegemea. Uwezo wake wa kuimba iliibuliwa na Lutu Mabangu wakati huo Yondo akiwa kama mnenguahi wa Tabu Ley katika bendi yake ya Rocherettes. Yondo muziki uko katika damu, mzee wake alikuwa akipiga muziki kwa kujifurahisha tu, humo kukajengeka ujasiri wa kutoogopa hadhira. Na mara kadhaa alishiriki katika dansi, polepole na kuja kuwa mwanamuziki kamili na kutoa albamu ya kwanza mwaka 1991.
- Veronica Donovan
- Veronica Donovan ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Robin Tunney. Uhusika wa Veronica mdogo ulichezwa na Annie Yokom, ambamye ameonekana mara moja tu katika mfululizo mzima
- Sofia Lugo
- Sofia Lugo ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Prison Break. Uhusika ulichezwa na Danay Garcia. Uhusika ulitambulishwa kuwa kama moja kati ya wahusika pale ilipofikia katika msimu wa tatu wa mfululizo huu. Sofia Lugo ni
- Benjamin Miles "C-Note" Franklin
- Benjamin Miles "C-Note" Franklin ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha TV cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Rockmond Dunbar
- When You're Mad
- "When You're Mad" ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu ya kwanza ya mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B-pop wa Kimarekani Ne-Yo. Wimbo unatoka katika albamu ya In My Own Words. Wimbo ulipata kushika nafasi ya 15 katika chati za Billboard Hot 100 bora na
- Brad Bellick
- Bradley "Brad" Bellick lilikuwa jina la kutaja uhusika wa katika tamthiliya ya Kimarekani ya Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Wade Williams. Akiwa kama mmoja kati ya kiongozi wa mfululizo huu wa Prison Break, ameshiriki katika misimu yote minne ya
- Lincoln "L. J." Burrows Jr.
- Lincoln Burrows Jr. (LJ) ni jina la kutaja mhusika wa mufululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Marshall Allman. LJ mdogo aliokuwa akionyeshwa katika historia ya awali ya maisha yake ilichezwa na
- Trilogy
- Trilogy neno la kutaja mfululizo wa hadithi au filamu zilizo na sehemu tatu, yaani, 1, 2 na 3. Kwa mfano, mflulizo wa filamu ya The Godfather unaitwa trilogy kwasababu ipo katika sehemu tatu: The Godfather, The Godfather Part II, na The Godfather Part III
- César Cui
- César Cui alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Urusi. Nae ni mmoja kati ya watunzi watano mashuhuri wa Urusi, ambao walipewa jina la utani la “Moguchaya Kuchka”, watu hao walikuwa Mily Balakirev, Nikolai Rimsky-Korsakov, Modest Mussorgsky na
- When You Look at Me
- "When You Look at Me" ni wimbo mwimbaji wa Kimarekani - Christina Milian. Wimbo huu uliandikwa na Milian, Christin Karlsson, Nina Woodford, Fredrik Odesio na Henrik Jonback, na kutayarishwa na Bloodshy a Avant kwa ajili ya albamu ya kwanza ya mwanadada
- Salim Ahmedy
- Salim Ahmedy Issa ni mwigizaji, mwongozaji, mwandishi na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Gabo Zigamba. Salim amekuwa akisifika kwa umahiri wake katika kuzishika nyusika tofauti. Anafahamika