Yael Abecassis

Yael Abecassis ni mwigizaji filamu na mwanamitindo kutoka nchini Israel.
Uwanja wa michezo wa Athlone
Uwanja wa michezo wa Athlone ni uwanja wa michezo unaopatikana Cape Town,nchini Afrika ya Kusini. Mara nyingi hutumika kwa mchezo wa mpira wa miguu na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa Engen Santos. Uwanja huu ulijengwa mnamo mwaka 1972 na una uwezo wa kubeba
Esmé Frances Hennessy
Esmé Frances Hennessy, née Franklin ni mtaalamu wa mimea, mchoraji wa mimea na mwandishi wa Afrika Kusini
Game Goabaone Bantsi
Game Goabaone Bantsi, anafaahmika vema kwa jina lake la jukwaani kama Zeus ni msanii wa Botswana, mshehereshaji na mfanyabiashara. Zeus aliachia albamu yake ya kwanza iitwayo Freshly Baked mwaka 2008 iliyokuwa na nyimbo zilizotamba kama Back in the day na
Mustapha Skandrani
Mustapha Skandrani, alikuwa mpigaji kinanda na mtumbuizaji wa muziki wa chaabi (Algeria
Barbara Adair
Barbara Adair ni mwandishi wa Afrika Kusini. Riwaya yake ya mwaka 2004 iitwayo In Tangier We Killed the Blue Parrot iliorodheshwa kuwania tuzo ya waandishi wa vitabu ya Sunday Time na riwaya yake iitwayo END iliorodheshwa kuwania tuzo ya jumuiya ya madola
Mawazine
Mawazine ni tamasha la kimataifa la Morocco inayofanyika kila mwaka huko Rabat, Morocco, ikiwashirikisha wasanii wengi wa muziki wa kimataifa na wazawa. Tamasha hili inaongozwa na Mounir Majidi, katibu wa mfalme wa Morocco, Mohammed VI na mwanzilishi na
Bongiwe Dhlomo-Mautloa
Bongiwe au Bongi Dhlomo-Mautloa ni raia wa Afrika ya Kusini mwenye asili ya Kizulu na hujishughulisha katika uchapishaji na usimamizi wa kazi za sanaa. Pia ni mwanaharakati
Salha Israel
Salha Israel ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu nchini Tanzania
Mto White Kei
Mto White Kei unapatikana katika jimbo la Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini
William Skinner Cooper
William Skinner Cooper alikuwa mwanaekolojia nchini Marekani