Wapogolo
Wapogolo ni kabila la watu kutoka kusini-kati ya nchi ya Tanzania, hususan mkoa wa Morogoro.
- Watemi
- Watemi ni watu wa kabila kutoka eneo la Arusha, nchini Tanzania, karibu na mpaka wa Kenya
- Wavidunda
- Wavidunda ni kabila la watu wa Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro katika Mashariki-kati ya nchi ya Tanzania
- Wawanji
- Wawanji ni kabila kutoka wilaya ya Makete, katika milima ya Kipengere ya Mkoa wa Njombe, sehemu ya kusini ya nchi Tanzania
- Warungi
- Warungi ni kabila la watu kutoka eneo la pwani ya kusini-mashariki ya Ziwa Tanganyika, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Warungi ilikadiriwa kuwa 166,000
- Warungwa
- Warungwa ni kabila la watu kutoka eneo la wilaya ya Mpanda, mkoa wa Katavi, magharibi mwa nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Warungwa ilikadiriwa kuwa 18,000
- Wasuba
- Wasuba ni kabila kutoka eneo la Ziwa Viktoria, nchini Tanzania, karibu na mpaka wa Kenya
- Wasumbwa
- Wasumbwa ni kabila la Watu kutoka eneo la wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, Kaskazini mwa nchi ya Tanzania
- Muhammed Seif Khatib
- Muhammed Seif Khatib alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania
- Watongwe
- Watongwe ni kabila la watu kutoka eneo la Ziwa Tanganyika, Wilaya ya Kigoma Vijijini, sehemu ya magharibi ya nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kitongwe
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya