Wanyaturu

Wanyaturu ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi hasa katika Mkoa wa Singida.
Wanilamba
Wanilamba ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi mpakani mwa mikoa ya Singida na Shinyanga. Vijiji vya mpakani mwa Tabora wanapopatikana ni: Shelui, Mgongo, Nkonkilangi, Nsunsui, Mingela na Dolomoni
Mangi Meli
Mangi Meli Kiusa bin Rindi Makindara Tarimo alikuwa mangi wa Oldmoshi, aliyepambana na Wajerumani kwa kuwashinikiza waondoke katika himaya yake, jambo ambalo Wajerumani walilipinga kwa kudai kuwa baba yake Meli, ambaye alikuwa ameshafariki, ndiye
Mangi Horombo
Mangi Horombo alikuwa Mangi wa Keni, leo katika mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, aliyejulikana kwa uhodari wa vita na kupora mifugo kutoka katika himaya nyingine huko Kilimanjaro
Mangi Marealle
Mangi Marealle alikuwa Mangi wa Marangu na Vunjo wakati wa miaka ya 1890. Mangi huyu alikuwa kibaraka wa Wajerumani na mara nyingi alikuwa akitumika kuwanyamazisha Mamangi wengine hasa katika vita, akitumika pia kueneza dini ya Ukristo wa Kilutheri
Mangi Shangali
Mangi Shangali alikuwa mangi wa Machame kutoka katika ukoo wa Mushi yaani Moshi. Huyu Moshi alikuwa hodari sana katika uongozi na utawala katika eneo lake huko Machame
Kiseri
Kiseri ni lugha yenye asili ya Kibantu inayozungumzwa na baadhi ya Warombo wanaoishi hasa Kaskazini mwa Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro
Busa
Busa ni kinywaji cha asili cha Warombo wanaopatikana Kaskazini mwa Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro
Mangi Sina
Mangi Sina alikuwa Mangi wa Kibosho aliyepambana sana na Mangi wa Machame katika masuala ya mipaka
Huzuni
Huzuni ni hali ya simanzi inayompata mtu au mnyama kwa kufikiwa na jambo lisilomfurahisha. Ni kati ya maono ya msingi. Huzuni hupelekea mtu kujihisi mpweke na kukosa tumaini
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya