Wameru (Tanzania)

Wameru wa Tanzania ni kabila la watu wa Kibantu wa jamii ya Wachaga wanaoishi hasa kwenye Mlima Meru katika Mkoa wa Arusha, kaskazini mwa nchi ya Tanzania.
Kaunti ya Nakuru
Kaunti ya Nakuru ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010
Malezi ya kijinsia
Malezi ya kijinsia ni sehemu muhimu ya malezi inayolenga kumsaidia mtoto kukabili vema hali yake ya kuwa mwanamume au mwanamke ili jinsia imjenge badala ya kumvuruga
Kaunti ya Kakamega
Kaunti ya Kakamega ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010
Wakonjo
Wakonjo ni kabila la Kibantu wanaoishi kwenye milima ya Ruwenzori, kusini magharibi mwa Uganda na kidogo upande wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Waakie
Waakie ni kabila dogo la watu wa Tanzania wanaoishi upande wa magharibi wa Mkoa wa Arusha. Mwaka 2000 walihesabiwa kuwa 5,268
Kamari
Kamari ni mchezo wa bahati nasibu unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo la mchezo
Wakisankasa
Wakisankasa ni kabila dogo la watu wa mkoa wa Arusha na mkoa wa Mara katika Tanzania Kaskazini
Wanena
Wanena ni kabila la watu wa Tanzania kusini wanaoishi katika milima ya Kipengere, mkoa wa Njombe
Waakiek
Waakiek ni kabila dogo la watu wanaoishi katika mkoa wa Arusha,Tanzania kaskazini, na pia Kenya, wakihesabiwa kuwa 3,700 tu
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya