Wamanyema
Wamanyema, ni shirikisho la makabila 12 ya Kibantu yanayopatikana kusini mashariki mwa beseni la mto Kongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika mkoa wa Kigoma nchini Tanzania.
- 7 Januari
- Tarehe 7 Januari ni siku ya saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 358
- 14 Februari
- Tarehe 14 Februari ni siku ya arubaini na tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 320
- 27 Januari
- Tarehe 27 Januari ni siku ya ishirini na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 338
- 24 Agosti
- Tarehe 24 Agosti ni siku ya 236 ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 129
- 27 Agosti
- Tarehe 27 Agosti ni siku ya 239 ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 126
- 27 Februari
- Tarehe 27 Februari ni siku ya hamsini na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 307
- Wahangaza
- Wahangaza ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kagera, hasa kwenye wilaya za Ngara na Biharamulo. Nje na wilaya hizo wanaishi pia sehemu za Kigoma na Karagwe
- Pepo
- Pepo ni roho wachafu au wabaya wenye nguvu za Kishetani wanaoweza kumshawishi mtu atende mabaya na hata kumwingilia kwa lengo la kumharibia maisha yake kiroho na kimwili
- Kitabu cha Habakuki
- Habakuki ni jina la nabii wa Israeli ya Kale na pia la kitabu kinacholeta habari zake katika Tanakh, na kwa hiyo pia katika Agano la Kale, sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya