Vielezi
Kielezi ni neno au maneno yanayotoa taarifa ihusuyo kitenzi. Maneno hayo (vielezi) huelezea/hufafanua na kupambanua au kuongeza maana zaidi ya namna au jinsi tendo linavyotendeka - idadi au kiasi cha kutendeka kwa tendo hilo, mahali ambapo tendo linatendeka.
- Fahari ya mtu mweusi
- Fahari ya mtu mweusi ni jina la harakati zilizoanzishwa kuzipiku tamaduni na itikadi za Kizungu na kuhamasisha watu weusi kufurahia tamaduni zao za asili na kushikilia urithi wao wa Kiafrika
- Xscape
- Xscape lilikuwa kundi la waimbaji wa kike wa R&B kutoka Atlanta, Georgia nchini Marekani. Kundi lilipata platinamu tatu mfululizo kwa albamu zao ikiwa ni pamoja na kushika nafasi ya 6 na kuingiza vibao 10 bab-kubwa katika chati za Billboard Hot 100 katika
- Mikoa ya Gabon
- Gabon imegawanyika katika mikoa tisa -Estuaire (Libreville) Haut-Ogooué (Franceville) Moyen-Ogooué (Lambaréné) Ngounié (Mouila) Nyanga (Tchibanga) Ogooué-Ivindo (Makokou) Ogooué-Lolo (Koulamoutou) Ogooué-Maritime (Port-Gentil) Woleu-Ntem (Oyem
- Mkataba wa Kimberley
- Mkataba wa Kimberley ni mchakato ulioanzishwa mnamo mwaka wa 2000 ili kuzuia "almasi za damu" kuingia katika soko kuu la biashara ya almasi
- Wamandinka
- Wamandinka ni jina la kabila kubwa huko Afrika ya Magharibi. Wanakadiriwa kufikia milioni kumi na moja. Wamandinka ni kizazi cha Dola la Mali, ambao walitamba sana wakati wa utawala wa mfalme wa Kimandinka Sundiata Keita
- Muungano wa Madola ya Afrika
- Muungano wa Madola ya Afrika ni wazo lililopendekezwa kwa ajili ya shirikisho la baadhi ya nchi zote huru 54 za katika bara la Afrika
- Alliance for Change and Transparency
- Alliance for Change and Transparency (ACT) (kwa Kiswahili:Umoja kwa Mabadiliko na Uwazi) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. Kimepata usajili wake kamili mnamo Mei 2014
- Fani (fasihi)
- Kwa matumizi tofauti ya neno hili angalia makala
- Dini nchini Benin
- Dini nchini Benin zinaishi pamoja kwa amani
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya