Utendi wa Fumo Liyongo

Utendi wa Fumo Liyongo ni utenzi ulioandikwa na Muhamad Kijumwa ukiongelea mgogoro uliokuwepo kati ya Fumo Liyongo na kaka yake Daudi Mringwari. Utenzi huu uliandikwa mwaka 1913.
Makumbusho ya Livingstone
Makumbusho ya Livingstone ndiyo makumbusho makubwa zaidi katika nchi ya Zambia
Children and Youth Voice Coalition
Children and Youth Voice Coalition ni asasi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa kwa malengo ya kufanya kazi na Vijana pamoja na watoto
Kobayashi Issa
Kobayashi Issa (kwa Kijapani: 小林 一茶; 15 June 1763 - 5 Januari 1828 alikuwa mshairi wa Japani na kuhani wa dini ya Ubudha akiandika sana mashairi aina ya Haiku
Danny Mrwanda
Danny Mrwanda ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu kutokea nchini Tanzania anayecheza kama mshambuliaji katika timu ya Hoang Anh Gia Lai Club nchini
Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere
Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere ni kitabu kilichoandikwa na Peter Bwimbo aliyekuwa mlinzi mkuu wa Mwalimu Julius Nyerere katika kipindi cha kabla ya uhuru na baada ya
Nyumba ni Choo (Kampeni)
Nyumba ni Choo ni kampeni ya usafi nchini Tanzania inayosimamiwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yenye malengo ya kuhamasisha jamii katika kudumisha suala la usafi na ujenzi wa vyoo bora
Mdhamini
Mdhamini ni riwaya ya kipepelezi iliyoandikwa na Japhet Nyang'oro Sudi mwaka 2019 ikizungumzia kisa cha watoto watano waliopewa mafunzo mazito na kuhitimu kwa kiwango cha juu hadi kuiogopesha idara ya usalama wa taifa
Soga (hadithi)
Soga ni utanzu wa fasihi simulizi unaosimulia matukio fulani kwa makusudi ya kusisimua. Utanzu huo hutumika pia kama masimulizi yanayoibua utani kuhusu jamii fulani. Pia ni hadithi zinazokusanya ucheshi ndani yake na mara nyingi hadithi hizo husababisha
Kale ya Washairi wa Pemba
Kale ya Washairi wa Pemba ni kitabu kilichokusanya mashairi ya kale ya Wazanzibari yaliyoandikwa na washairi wawili walioishi mwishoni mwa karne ya 18 na mwanzoni mwa karne ya 19
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya