Unyevuanga

Unyevu anga ni kiwango cha mvuke wa maji katika angahewa kwa jumla, katika hewa ya eneo fulani au ndani ya majengo.
Suleiman I
Suleiman I alikuwa sultani wa 10 wa Milki ya Osmani. Alitawala miaka 46 kuanzia 1520 hadi 1566. Hakuna sultani mwingine aliyekaa muda mrefu kama yeye. Watu wa magharibi walimwita "Suleimani Mwadhimu"; katika dunia ya Kiislamu alijulikana kama "Suleimani
Sataranji
Sataranji ni mchezo wa ubao kwa wachezaji wawili
Plutoni
Plutoni ni elementi katika mfumo radidia yenye alama Pu. Namba atomia ni 94 na uzani atomia ni 244. Jina limechaguliwa kutokana na sayari kibete Pluto
Shaha (sataranji)
Shaha ni kete muhimu zaidi katika mchecho wa sataranji. Anaweza kutembea hatua 1 kila upande kwa mraba yoyote jirani. Kifupi chake katika miniti za mchezo ni "K
Vita ya Korea
Vita ya Korea ya karne ya 20 ilitokea kati ya mwaka 1950 na 1953
Ilias
Ilias au Iliadi ni utenzi wa kale na mfano wa kwanza wa fasihi andishi ya utamaduni wa Ugiriki ya Kale. Ilitungwa kama utenzi wa fasihi simulizi na kuandikwa mnamo karne ya 8 KK ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24
Kaisari Wilhelm II
Kaisari Wilhelm II alikuwa mfalme wa mwisho wa Prussia na kaisari wa mwisho wa Ujerumani kuanzia mwaka 1888 hadi 1918
Metali za udongo alikalini
Metali za udongo alikalini ni mfulizo wa kikemia katika mfumo radidia unaounganisha elementi za kundi la pili yaani elementi thabiti Berili (Be), Magnesi (Mg), Kalisi (Ca), Stronti (Sr) na Bari (Ba) pamoja na elementi nunurifu ya radi (Ra) ambayo ni tokeo
William Edward Burghardt Du Bois
William Edward Burghardt Du Bois alikuwa mwanahistoria, mtaalamu wa elimu jamii na mpigania wa haki za kibinadamu kutoka nchini Marekani
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya