Uandishi wa barua ya simu
Uandishi wa barua ya simu ni njia mojawapo ya mawasiliano ya haraka baina ya watu. Waandikiwa hupata taarifa haraka ukilinganisha na barua za kawaida, pia taarifa zake ni fupi na zina ujumbe unaoeleweka. Ufupi huo hutokana na gharama kubwa za malipo kwa sababu gharama ya simu ya maandishi hulipwa kulingana na idadi ya maneno mwandishi aliyoyaandika.
- Mahuluti
- Mahuluti ni aina ya kamusi ambayo hutafsiri maneno au misamiati kwa lugha tatu tofauti, kwa mfano: Kiswahili, Kiingereza na Kifaransa
- Wahidiya
- Wahidiya ni aina ya kamusi ambayo hutafsiri maneno au misamiati kwa lugha ileile moja, mfano Kiswahili kwa Kiswahili au Kiingereza kwa Kiingereza
- Thaniya
- Thaniya ni aina ya kamusi inayotafsiri maneno au misamiati kwa kutumia lugha mbili, mfano Kiswahili kwa Kiingereza au Kiingereza kwa Kiswahili
- Taratibu za uandishi
- Taratibu za uandishi ni mfumo wa alama na mpangilio wa maneno unaomwongoza mtu kuandika vizuri
- Biko
- Biko ni mchezo wa kubahatisha nchini Tanzania
- Vinyeleo
- Vinyeleo ni vitundu vidogovidogo vinavyotoa taka mwilini au jasho kwa njia ya ngozi
- Ugwadu
- Ugwadu ni kisawe cha uchachu; vitu vya namna hiyo ni kama embe bichi, chungwa bichi n.k
- Taka mwili
- Taka mwili ni uchafu unaotolewa nje ya mwili wa binadamu na wanyama baada ya kuchujwa: ni kama vile kinyesi, mkojo, jasho
- Uwanja wa Keitaba
- Uwanja wa Keitaba ni uwanja mkuu wa mpira wa miguu katika Wilaya ya Bukoba Mjini mkoani Kagera
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya