Turibio wa Mongrovejo

Turibio wa Mongrovejo alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Peru.
Ostspitze
Ostspitze ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya
Msesewe
Msesewe ni kiambato cha pombe chenye ungaunga. Unatokana na mti unaoitwa msesewe
Jumuiya ya ibada za nyumba kwa nyumba
Jumuiya ya ibada za nyumba kwa nyumba ni ibada maalumu zinazofanyika katika nyumba za Wakristo wa Kilutheri zilizoanzishwa makusudi ili kulinda uwepo wa Mungu miongoni mwa waumini. Zaidi sana ibada hizi zina lengo la kuwakumbusha na kuwakumbatia ili
Mke Mmoja Waume Watatu
Mke Mmoja Waume Watatu ni riwaya iliyoandikwa na Muhammed Said Abdulla
Mto Katuma
Mto Katuma uko katika Mkoa wa Katavi, Tanzania, na ndio tegemeo la Hifadhi ya Taifa ya Katavi
Mwerezi
Mwerezi ni mti wenye historia katika nchi ya Lebanon
Wanamazingaombwe
Wanamazingaombwe ni watu wanaoendesha michezo ya kumfanya mtu aone kitu tofauti na kile kinachofanyika au kwa jina lingine kiinimacho
Buguruka
Buguruka ni kijiji kilicho kando ya ziwa Viktoria katika kata ya Kanyangereko, Mkoa wa Kagera, Tanzania Kaskazini
Ununheksi
Ununhexi ni elementi sintetiki yenye namba atomia 116 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni takriban 289 - 302. Alama yake ni Uuh. Si rahisi kutaja tabia zalke kwa sababu imetengenezwa mara mbili tu katika maabara kama atomi moja-moja
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya