Tariro Mnangagwa
Tariro Washe Mnangagwa ni mwigizaji wa kike wa Zimbabwe.
- Angèle Etoundi Essamba
- Angèle Etoundi Essamba ni mpiga picha wa Kamerun anayeishi na kufanya kazi mjini Amsterdam. Binti maarufu zaidi kwa kazi yake ya upigaji picha nyeusi na nyeupe za binadamu, ambayo mara nyingi alilenga mada kwa wanawake wa kiafrika. Essamba ni mmoja wa
- Lindsey Collen
- Lindsey Collen ni mwandishi wa riwaya na mwanaharakati. Alishinda tuzo za kawaida za uandishi wa kitabu bora wa Afrika miaka 1994 na 2005
- Sharon Dahlonega Bush
- Sharon Dahlonega Bush ni mwandishi wa magazeti na mtangazaji wa habari katika runinga nchini Marekani. Alizaliwa huko Greensboro, North Carolina, na anaishi Los Angeles, California.Alikuwa ni mwaandaji na mtayarishaji wa tuzo za kitaifa za wanamuziki
- Uwanja wa michezo wa Suez
- Uwanja wa michezo wa Suez ni uwanja wenye matumizi mengi unaopatikana Suez, Misri. Unatumika zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na unatumika kama uwanja wa nyumbani wa Suez na Petrojet SC. uwanja huo una uwezo wa kuingiza watu 27,000 Ulifunguliwa mnamo mwaka
- Tamron Hall
- Latrise Hall ni Mmarekani mwandishi wa habari, mtangazaji na mzungumzaji katika kipindi cha runinga
- Uwanja wa michezo wa Witbank
- Uwanja wa michezo wa Witbank ni uwanja unaotumika wenye makusudio mengi ya Witbank, Afrika Kusini.Kwa sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Mpumalanga Black Aces F.C. Ni uwanja wa nyumbani pia wa
- Uwanja wa michezo wa Wadley
- Uwanja wa michezo wa Wadley unajulikana kama uwanja wa FNB Wadley kwa sababu ya udhamini, ni uwanja wa mpira wa miguu unaopatikana katika mji wa Georgetown, Edendale mkabala na Pietermaritzburg
- Uwanja wa michezo Zuka Baloyi
- Uwanja wa michezo Zuka Baloyi ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi ya Welkom, Afrika ya Kusini. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa kilabu cha mpira cha Dinonyana na kilabu cha mpira cha Harmony
- Uwanja wa michezo wa Tuks
- Uwanja wa michezo wa Tuks ni uwanja wa michezo ambao Wakati mwingine unajulikana kama uwanja wa ABSA Tuks kwa sababu za udhamini. Ni uwanja wa soka wa Hatfield Pretoria, na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya chuo Kikuu cha Pretoria F.C
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya