Stameni
Stameni ni sehemu ya kiume ya ua ambayo huundwa na filamenti pamoja na chavulio.
- Kationi
- Kationi (+) kutoka neno la Kigiriki κάτω (káto), likimaanisha "chini") ni ioni iliyo na elektroni chache kuliko protoni, na hivyo huwa na chaji chanya
- Umande
- Umande ni maji yaliyo katika mfumo wa vijitone vionekanavyo juu ya vitu, hasa mimea, wakati wa asubuhi kutokana na utoneshaji na baridi
- Pistili
- Pistili ni sehemu ya kike ya ua ambayo huwa na sehemu kuu tatu ambazo ni: stigma, staili pamoja na ovari ambazo ndani yake hupatikana chembekike za mmea
- Mtandao wa simu za rununu
- Mtandao wa simu za rununu ni mtandao wa simu ambapo kiunga cha mwisho hakina waya
- Petali
- Petali ni majani ya pekee katika ua ambayo huzunguka sehemu za uzazi za ua. Majani hayo pia katika aina kadha za maua huwa na rangi pamoja na harufu nzuri yenye kuvutia wadudu na binadamu. Uwezo wa majani haya kuvutia wadudu huchangia utungishaji yaani
- Ubaridi
- Ubaridi ni uwepo wa hali ya chini ya halijoto katika kitu fulani au eneo fulani, lakini hasa katika angahewa. Katika hali ya kawaida baridi huwa ni hali ya mtazamo binafsi. Mpaka wa chini kabisa wa baridi ni sifuri halisi ambayo katika skeli ya Kelvin
- Mageuzi
- Mageuzi ni mabadiliko ya taratibu hasa katika siasa ya nchi, tofauti na mapinduzi ambayo yanafanyika haraka na mara nyingi kwa kutumia nguvu
- Anioni
- Anioni ni ioni yenye elektroni nyingi zaidi kuliko protoni, na hivyo huwa na chaji hasi
- Chavulio
- Chavulio ni sehemu ya stameni, ambayo ni sehemu ya kiume ya ua
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya