Salha Israel

Salha Israel ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu nchini Tanzania ..
Wellu Sengo
Wellu Sengo ni mwigizaji wa filamu za Tanzania. Alianza kupata kazi mbalimbali na wasanii wazoefu katika filamu nchini mwake.. Aliolewa na Desire Ronald Mkwaya na akaachika mwaka 2021,hawana mtoto Alikwishafanya kazi na kampuni kubwa zinazohusika na
Mto White Kei
Mto White Kei unapatikana katika jimbo la Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini
Mto Verlorevlei
Mto Verlorevlei unapatikana katika jimbo la Rasi Magharibi, Afrika Kusini. Lango la mto huo linapatikana katika ghuba ya Elands
Bongiwe Dhlomo-Mautloa
Bongiwe au Bongi Dhlomo-Mautloa ni raia wa Afrika ya Kusini mwenye asili ya Kizulu na hujishughulisha katika uchapishaji na usimamizi wa kazi za sanaa. Pia ni mwanaharakati
Mawazine
Mawazine ni tamasha la kimataifa la Morocco inayofanyika kila mwaka huko Rabat, Morocco, ikiwashirikisha wasanii wengi wa muziki wa kimataifa na wazawa. Tamasha hili inaongozwa na Mounir Majidi, katibu wa mfalme wa Morocco, Mohammed VI na mwanzilishi na
May Balisidya
May Lenna Balisidya Matteru alikuwa mwandishi wa vitabu vya Kiswahili nchini Tanzania
Mto Vet
Mto Vet ni tawimto la mto Vaal, Afrika Kusini
Esmé Frances Hennessy
Esmé Frances Hennessy, née Franklin ni mtaalamu wa mimea, mchoraji wa mimea na mwandishi wa Afrika Kusini
Sibongile Mlambo
Sibongile Mlambo ni mwigizaji wa Zimbabwe anayefanya shughuli zake nchini Marekani. Anafahamika kwa kuwa mhusika mkuu katika filamu za mwendelezo za tovuti ya Netflix ambazo ni Lost in Space, filamu ya mwendelezo ya the Starz historical adventure
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya