Sahira Begum Siraj Al Banat
Princess Sahira Begum Siraj Al Banat au Bibi Gul, anajulikana kwa jina maarufu kama Saraj al Banat, alikuwa binti wa kifalme wa Afghanistan.
- Saleha Farooq Etemadi
- Saleha Farooq Etemadi ni mwanasiasa wa Afghanistan, alihudumu kama waziri wa usalama wa jamii mwaka 1990 hadi 1992, mwezi wa tano mwaka 1990 aliteuliwa na Baraza la Mawaziri kua waziri wa usalama katika serikali ya Mohammad Najibullah. Yeye ni mmoja kati
- Kubra Noorzai
- Kubra Noorzai alikuwa mwanasiasa wa Afghanistan, mwanamke wa kwanza kuwa waziri wa nchi, akihudumu kama waziri wa Afya ya umma kati ya 1965 na 1969
- Chékéba Hachemi
- Chékéba Hachemi, ni mwandishi na mwanaharakati wa Afghanistan. Alikuwa mwanamke wa kwanza wa Afghanistan kutajwa kuwa mwanadiplomasia, mwaka wa 2001. Yeye ni Rais na mwanzilishi wa taasisi isiyo ya kiserikali (AZAKI) ya Afghanistan Libre
- Poacher (filamu)
- Poacher ni filamu iliyotengenezwa na wakenya pamoja na waingereza ikiongozwa na Tom whithworth.filamu hii ilipewa umakini kimataifa baada ya kutolewa na kampuni ya filamu ya Netflix mnamo septemba 2020.filamu hii imekua filamu ya kwanza ya kenya kutolewa
- Soraya Tarzi
- Soraya Tarzi alikuwa malkia wa kwanza nchini Afghanistan kama mke wa Mfalme Amanullah Khan.alishiriki kwa nafasi kubwa katika mapinduzi ya kisasa ya Amanullah Khan, hasa kuhusu ukombozi wa wanawake
- Godzilla (mwimbaji)
- Golden Jacob Mbunda alikuwa Mtanzania msanii wa kurekodi, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo
- Chuo Kikuu cha Eldoret
- Chuo Kikuu cha Eldoret ni moja ya vyuo vikuu 22 vya umma nchini Kenya na kiko takriban km 9 kando ya barabara ya Ziwa-Eldoret katika mji wa Eldoret, Kaunti ya Uasin Gishu
- Ali ibn Sabr ad-Din
- Ali ibn Sabr ad-Din alikuwa mwana wa Sabr ad-Din I. Mtawala wa Ethiopia Newaya Krestos alimfanya Gavana wa Ifat baada ya kifo cha baba yake
- Princess Shah Gul Jahan
- Princess Shah Gul Jahan pia hujulikana kama Kubra Jahan Begum lakini hupendelea kuitwa kama Princess Kubra au princess Kobra, alikuwa binti wa kifalme wa Afghanistan. Alizaliwa na Habibullah Khan na mmoja kati ya wake 44 wa Sitara Begum
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya