Revocatus
Revocatus ni mmoja wa mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa tarehe 7 Machi 203 mjini Karthago wakati wa dhuluma dhidi ya Wakristo chini ya serikali ya Kaisari Septimius Severus (193-211).
- Mbandaka
- Mbandaka ni kati ya miji mikubwa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Iko kwenye ikweta kando ya mto Kongo
- Gedi
- Gedi ni kijiji cha wakazi 600 kwenye pwani ya Kenya takriban kilomita 16 kusini kwa Malindi. Ni mahali maarufu pa maghofu ya mji wa Waswahili wa Kale ndani ya msitu wa Arabuko-sokole
- Guantanamo Bay
- Guantanamo Bay au Hori ya Guantanamo ni hori ya Bahari ya Karibi inayoingia kusini mwa kisiwa cha Kuba yenye upana wa km 20 na urefu wa km 8
- Kisiwa cha Ukerewe
- 2.029300°S 33.009796
- Mapatano ya msingi ya UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
- Mapatano ya msingi ya UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi ni mapatano ya kimataifa yaliyoanzishwa mwaka 1993. Yanalenga kupunguza kupanda kwa halijoto duniani. Njia kuu ni kuzuia ongezeko la gesi ya dioksidi
- Tafsiri
- Tafsiri ni kazi ya kutoa maana ya maneno kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine
- Sunda Rapids
- Sunda Rapids ni sehemu ya maporomoko kwenye mwendo wa Mto Ruvuma unaofanya mpaka baina ya Tanzania Kusini na Msumbiji. Mto Ruvuma unapitia bonde jembamba ambako maji yake yalikata njia katika miamba yakiwa hapa na mwendo wa mbio
- Benwadi
- Benwadi wa Hildesheim alikuwa askofu wa Hildesheim nchini Ujerumani kuanzia tarehe 15 Januari 993 hadi kifo chake
- Milima ya Bigoro
- Milima ya Bigoro inapatikana katika kata ya Nyakahanga kwenye Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera nchini Tanzania
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya