Radi (elementi)
Kwa ngurumo ya umeme tazama radi
- Nikeli
- Nikeli ni dutu sahili ya metali na elementi. Namba atomia yake ni 28 katika mfumo radidia, uzani atomia ni 58.6934. Katika mazingira ya kawaida ni metali ngumu yenye rangi nyeupe. Alama yake ni Ni
- Posferi
- Posferi ni elementi simetali yenye namba atomia 15 katika mfumo radidia na uzani atomia 30.973762. Alama yake ni P. Jina latokana na kigiriki φως-φορος kwa sababu posfori nyeupe hung'aa ikijibutika na oksijeni
- Stronti
- Stronti ni elementi na metali ya udongo alikalini yenye namba atomia 38 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 87.62. Alama yake ni Sr. Jina lahusiana na kijiji cha Strontian katika Uskoti ilipotambuliwa mara ya kwamza mwaka 1787
- Magnesi
- Magnesi ni elementi na metali ya udongo alkalini yenye namba atomia 12 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 24.3050. Alama yake ni Mg. Jina linahusiana na neno la Kigiriki μαγνησιη hata kama Mg haina tabia za kisumaku
- Paladi
- Paladi ni dutu sahili ya metali na elementi. Namba atomia yake ni 46 katika mfumo radidia, uzani atomia ni 106.42. Katika mazingira ya kawaida ni metali laini yenye rangi fedha-nyeupe inayohesabiwa kati ya metali za mpito. Alama yake ni Pd. Huhesabiwa
- Florini
- Florini ni dutu sahili na halojeni simetali. Namba atomia yake ni 9. Katika mazingira yetu kawaida iko katika hali ya gesi yenye rangi njanokijani. Alama yake ya kikemia ni F
- Boroni
- Boroni ni elementi ya kikemia yenye namba atomia 5 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 10.811. Alama yake ni B
- Roentgeni
- Roentgeni ni elementi sintetiki yenye namba atomia 111 katika mfumo radidia na uzani atomia wa isotopi yake yenye nusumaisha ndefu ni 280. Alama yake ni Rg
- Dhahabu
- Dhahabu ni elementi yenye namba atomia 79 katika mfumo radidia na uzani atomia ni 196.966569. Alama yake ni Au
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya