Pinocchio (filamu ya 1940)

Pinocchio ni filamu ya katuni ya Marekani ya mwaka wa 1940 iliyotayarishwa na Walt Disney na inatokana na hadithi ya Kiitalia ya Carlo Collodi aliyesimulia vituko vya mwanaserere Pinokyo. Kitabu hicho kiliwahi kutafsiriwa na Tanganyika Mission Press kwa Kiswahili mwaka 1965 na kuwa maarufu Afrika Mashariki kwa jina "Mambo yalioyompata Pinokyo".
Konfusio
Konfusio alikuwa mwalimu na mwanafalsafa muhimu kabisa wa kale huko Uchina
Ryan White
Ryan Wayne White alikuwa kijana wa Kiamerika kutoka mjini Kokomo, Indiana ambaye amekuwa maarufu baada ya kuwekwa picha yake kwenye kijarida cha kuombea misaada ya wagonjwa watoto wenye HIV/UKIMWI huko nchini Marekani, baada ya kufukuzwa shule ya msingi
Dini nchini Benin
Dini nchini Benin zinaishi pamoja kwa amani
Muhammad Ali
Kwa watu wengine wenye jina hili tazama Muhammad Ali (maana
Xscape
Xscape lilikuwa kundi la waimbaji wa kike wa R&B kutoka Atlanta, Georgia nchini Marekani. Kundi lilipata platinamu tatu mfululizo kwa albamu zao ikiwa ni pamoja na kushika nafasi ya 6 na kuingiza vibao 10 bab-kubwa katika chati za Billboard Hot 100 katika
Alliance for Change and Transparency
Alliance for Change and Transparency (ACT) (kwa Kiswahili:Umoja kwa Mabadiliko na Uwazi) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. Kimepata usajili wake kamili mnamo Mei 2014
Muungano wa Madola ya Afrika
Muungano wa Madola ya Afrika ni wazo lililopendekezwa kwa ajili ya shirikisho la baadhi ya nchi zote huru 54 za katika bara la Afrika
Wamandinka
Wamandinka ni jina la kabila kubwa huko Afrika ya Magharibi. Wanakadiriwa kufikia milioni kumi na moja. Wamandinka ni kizazi cha Dola la Mali, ambao walitamba sana wakati wa utawala wa mfalme wa Kimandinka Sundiata Keita
Mikoa ya Gabon
Gabon imegawanyika katika mikoa tisa -Estuaire (Libreville) Haut-Ogooué (Franceville) Moyen-Ogooué (Lambaréné) Ngounié (Mouila) Nyanga (Tchibanga) Ogooué-Ivindo (Makokou) Ogooué-Lolo (Koulamoutou) Ogooué-Maritime (Port-Gentil) Woleu-Ntem (Oyem
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya