Papa (samaki)

Papa ni kundi la spishi 500 za samaki wenye kiunzi cha gegedu badala ya mifupa. Gegedu ni dutu ya kunyambuliwa kama mpira mgumu lakini laini kuliko mifupa kamili. Karibu spishi zote za papa wanaishi katika maji ya chumvi baharini.
Chura
Kwa nyota angalia hapa Chura (nyota
Wadudu
Wadudu wa kweli ni kundi la arithropodi wadogo kiasi ambalo lina spishi nyingi duniani. Kibiolojia wako katika ngeli ya Insecta
Ngano
Kwa aina ya fasihi simulizi tazama makala ya Ngano (hadithi
Paa
Kwa maana mengine ya neno hili tazama Paa (maana
Mwani
Miani ni kundi kubwa la viumbehai vinavyofanana na mimea. Spishi ndogo huitwa viani au vijimea. Zina uwezo wa kujilisha kwa njia ya usanisinuru yaani hutengeneza chakula chao kwa msaada wa mwanga wa jua. "Viani kijanibuluu" siyo viani vya kweli lakini
Jozi (tunda)
Jozi, koko au kokwa ni mbegu kavu za mimea kadhaa zinazoliwa kama chakula cha kibinadamu. Kibotania mbegu huitwa jozi kama tunda lina mbegu moja tu ndani yake na ganda linalozunguka mbegu yenyewe linakauka kuwa ngumu kama ubao. Kwa lugha ya kila siku jozi
Sisimizi
Sisimizi ni familia ya wadudu wadogo wanaoishi katika jamii. Jamii hizi zinaweza kuwa na sisimizi makumi kadhaa tu au kuwa na mamilioni kulingana na spishi mbalimbali
Mnyamapochi
Wanyamapochi ni wanyama wa ngeli ya chini Marsupialia ambao wanazaa wadogo wao katika hali changa sana yaani baada ya muda mfupi wa mimba. Baada ya kuzaa wanaendelea kubeba wadogo ndani ya pochi au mbeleko ya ngozi iliyopo nje ya mwili juu ya tumbo. Humo
Kodata
Kodata ni kundi kubwa la wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni
Alan Hastings
Alan Matthew Hastings ni mwanaekolojia wa hisabati na profesa mashuhuri katika Idara ya Sayansi ya Mazingira na Sera katika Chuo Kikuu cha California, Davis