Paka-kaya
Paka-kaya ni mnyama mdogo alaye nyama na ambaye amefugwa na binadamu tangu miaka maelfu. Paka ni mwana wa familia ya Felidae wanaojumlisha paka pamoja na gwagu (paka-pori) na spishi kubwa kama simba, chui na duma.
- Mkesha-maji
- Mikesha-maji ni ndege wadogo kiasi wa familia Cinclidae wafananao na mikesha wadogo. Katika Afrika wanatokea Milima ya Atlas huko Maroko. Wana mkia mfupi na mabawa mafupi yenye nguvu. Ndege hawa hutafuta chakula majini na waweza kuingia maji wakizama
- Lemuri-ukosi
- Lemuri-ukosi ni spishi za lemuri wa jenasi Varecia katika familia Lemuridae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Jina lao linatoka kwa ukosi wa manyoya kuzunguka shingo yao. Rangi yao ni kahawianyekundu au nyepe na nyeusi. Spishi hizi ni lemuri
- Konyeza-vichanio
- Konyeza-vichanio ni wanyama wadogo hadi wakubwa kiasi wa bahari ambao huainishwa katika faila Ctenophora. Hawakaziki kamwe lakini huogelea majini kama konyeza wengine. Na kama wanyama-upupu wote mwili wa konyeza-vichanio umeumbwa kwa tabaka la kolajini na
- Chui (Pantherinae)
- Chui ni wanyama mbuai wakubwa wa nusufamilia Pantherinae katika familia Felidae. Isipokuwa spishi moja (simba), wanyama hawa wana madoa au milia. Spishi nyingi zinatokea misitu au maeneo mengine yenye miti katika Afrika, Asia na Amerika, nyingine
- Lemuri
- Lemuri ni aina za kima awali wa familia ya juu Lemuroidea katika nusuoda Strepsirrhini. Wanatokea Madagaska tu. Kama kima wana mkia mrefu, kucha fupi na pana na kidole kwa kila mkono na mguu kilicho na uwezo wa kupinga vidole vingine. Lakini tofauti na
- Mzamaji (ndege)
- Wazamaji ni ndege wa maji wa jenasi Gavia, jenasi pekee ya familia Gaviidae. Wanafanana na vibisi na minandi lakini ni tofauti na wamepewa oda yao Gaviiformes. Wana ngozi kati ya vidole kama minandi lakini domo lao lina ncha kali bila kulabu kama vibisi
- Kipwita
- Vipwita ni ndege wa jenasi Phalaropus katika familia ya Scolopacidae. Ndege hawa wana rangi ya nyeupe na kijivu. Wakati wa majiri ya kuzaa hupata rangi ya nyekundu angalau kwa ukosi wao. Wanaweza kuogelea sana kwa sababu vidole vyao vina ndewe. Jike ana
- Teleka
- Teleka au barawai ni ndege wa familia Apodidae. Ndege hawa ni wadogo wenye mabawa marefu kwa umbo wa mundu. Rangi yao ni kahawia au kijivu na mara nyingi kiuno, koo na/au tumbo ni nyeupe. Teleka hupitisha takriban maisha yao yote angani wakikamata wadudu
- Mshelisheli
- Mshelisheli ni mti wa familia Moraceae. Matunda yake huitwa mashelisheli. Asili ya mti huu ni Nyugini. Wapolinesi wamepanda mshelisheli visiwani kwa Bahari ya Pasifiki isipokuwa Nyuzilandi na Kisiwa cha Pasaka ambapo hali ya hewa ni baridi sana. Sikuhizi
- Nyigu mlanyuki
- Nyigu walanyuki ni nyigu wa ukubwa wa kati wa jenasi Philanthus katika familia Philanthidae na familia ya juu Apoidea katika oda Hymenoptera ambao huwinda nyuki ili kutaga mayai juu yao. Wanatokea duniani kote isipokuwa Australia, Amerika ya Kusini na