Orodha ya milima mirefu duniani

Urefu wa mlima au kimo chake unaweza kukadiriwa kwa njia mbalimbali.
Kabaka
Kabaka ni cheo cha mfalme wa Buganda ambayo ni ufalme ndani ya jamhuri ya Uganda. Cheo kingine pamoja na Kabaka ni Ssebataka
Uhuru wa taaluma
Uhuru wa taalumu humaanisha haki mbalimbali za binadamu pamoja na wajibu wa pekee vinavyostahili kupatikana kwa shughuli na maisha ya vyuo vikuu pamoja na mafundisho na uchunguzi wa sayansi kwa jumla
Fofota
Fofota (kwa Kiingereza pulp) ni sehemu ya ndani ya jino
Mikoa ya Jamhuri ya Kongo
Mikoa ya Jamhuri ya Kongo ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi wa utawala katika Jamhuri ya Kongo. Nchi imegawanywa katika mikoa kumi na mbili zinazoitwa kwa Kifaransa départements tangu mwaka 2002
Pembe ya Afrika
Pembe ya Afrika ni jina la sehemu ya mashariki kabisa ya bara la Afrika yenye umbo la pembetatu; ni kama rasi iliyoko kati ya Ghuba ya Aden na Bahari Hindi yenyewe
Thomas Robert Malthus
Mch. Thomas Robert Malthus FRS alikuwa mchungaji wa Kianglikana na mtaalamu wa uchumi aliyetunga nadharia maarufu kuhusu demografia, hasa uhusiano kati ya ongezeko la watu na kiasi cha bidhaa zinazopatikana
Hakimiliki
Hakimiliki (kwa Kiingereza: copyright) ni utaratibu wa kisheria unaompa mmiliki wa kazi za akili haki ya kuamulia matumizi yake. Sheria za hakimiliki zinalenga kukinga watungaji wa kazi za akili dhidi ya matumizi ya kazi yao na wengine wanaojipatia faida
Sukkot
Sukkot ni sikukuu ya Kiyahudi. Katika tukio hilo, watu husherehekea ukusanyaji wa mazao ya matunda, na kukumbuka wakati uliopita Wayahudi walipokaa katika vibanda vidogo walipokuwa kwenye safari ya kutoka Misri kuelekea Kanaani
Eneo la kudhaminiwa
Eneo la kudhaminiwa lilikuwa eneo lililokabidhiwa na umma wa kimataifa mikononi mwa nchi iliyotakiwa kulisimamia. Katika karne ya 20 maeneo ya kudhaminiwa yalikuwa aina ya pekee ya ukoloni. Utawala wa mkoloni ulitekelezwa rasmi kwa niaba ya nchi huru zote
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya