Orodha ya miji ya Uturuki
Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Uturuki kwa mtililiko wa idadi ya wakazi.
- Orodha ya miji ya Albania
- Hii ni orodha ya miji na vijiji nchini Albania, jinsi ilivyorejewa kutoka Taasisi ya Kutoa Takwimu ya Albania mjini Tirana (2008
- Samsun
- Samsun ni jina la mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika pwani ya Bahari Nyeusi, ukiwa na idadi ya wakazi takriban 725,111 kama jinsi ilivyohesabiwa katika mwaka wa 2007. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Samsun na ni bandari muhimu kabisa
- Orodha ya miji ya Armenia
- Hii ni orodha ya miji na vijiji vya nchi ya Armenia
- Taylor Swift (albamu)
- Taylor Swift ni jina la kutaja albamu ya kwanza na jina la msanii mwenyewe wa muziki wa county na pop wa Kimarekani Bi. Taylor Swift. Albamu iltolewa mnamo tar. 24 Oktoba 2006 kwenye studio ya Big Machine Records, na kutumbukiza vibao vikali vitano kwenye
- Siirt
- Siirt (Kikurdi:Sêrt), Kiarabu:سعرد) ni jina la mji uliopo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Jimbo la Siirt. Mjini kwa Siirt kumechanganya wakazi kati ya Wakurdi, Waturuki, na Waarabu. Idadi ya wakazi jinsi ilivyohesabiwa
- Rize
- Rize ni jina la kutaja mji mkuu wa Mkoa wa Rize huko nchini Uturuki. Mji upo mjini kaskazini-mashariki mwa pwani ya Bahari Nyeusi. Mji una wakazi takriban 78,144 wanaoishi mjini hapa. Mji upo 6 kutoka juu ya usawa wa bahari
- Camera Phone
- "Camera Phone" ni wimbo wa nne kutoka katika albamu ya tatu ya msanii wa hip hop The Game, LAX. Wimbo umemshirikisha mwimbaji wa R&B Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na Cool na Dre. Umeonekana kuwa kama wimbo wa ziada kwenye toleo la albamu tu. Nchini UK
- Tokat
- Tokat ni mji uliopo katika mkoa wa Bahari Nyeusi ya Anatolia huko nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Tokat. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji wa Tokat una wakazi takriban 113,100 wanaoishi katika mji huu
- Can We Chill
- "Can We Chill" ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu ya Because of You ya mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B na pop - Ne-Yo. Wimbo ulitoka mnamo tarehe 29 Septemba ya mwaka wa 2007. Wimbo ulitayarishwa na Eric Hudson
- Salim Ahmedy
- Salim Ahmedy Issa ni mwigizaji, mwongozaji, mwandishi na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Gabo Zigamba. Salim amekuwa akisifika kwa umahiri wake katika kuzishika nyusika tofauti. Anafahamika