Orodha ya benki Tanzania

Hii ni orodha ya benki za biashara Tanzania:Standard Chartered Bank (T) Stanbic Bank (T) Citibank (T) FBME Bank Bank of Africa Diamond Trust (T) Exim Bank (T) National Bank of Commerce National Microfinance Bank CRDB Bank People's Bank of Zanzibar Akiba Commercial Bank Kenya Commercial Bank International Commercial Bank (T) Habib African Bank Barclay's Bank (T) African Banking Corporation (T) Commercial Bank of Africa CF Union Bank Savings and Finance Commercial Bank Azania Bancorp Bank of Baroda (T) Bank M (T) Access Bank Tanzania Bank of India Tanzania
The New York Times
The New York Times ni gazeti la kila siku la Marekani lililoanzishwa mnamo mwaka 1851 na kuchapishwa mjini New York City. Gazeti kubwa katika mji mkuu wa Marekani, "The Gray Lady" huhesabiwa kama gazeti la kumbukumbu ya kitaifa
Kituo cha kujazia mafuta
Kituo cha kujazia mafuta ni mahali ambapo panauzwa mafuta na vifaa vya kulainisha magari
Mkoa wa Manica
Manica ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Chimoio
Mkoa wa Zambezia
Zambezia ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Quelimane
Orodha ya miji ya Brazil
Hii ni orodha ya miji ya Brazil
Mkoa wa Sofala
Sofala ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Beira
Mkoa wa Nampula
Nampula ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Nampula
Mkoa wa Niassa
Niassa ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Lichinga
Mkoa wa Tete
Tete ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Tete
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya