Orodha ya Marais wa Marekani

Katika Katiba ya Marekani, Rais wa Marekani ni Mkuu wa Taifa pamoja na kuwa Mkuu wa Serikali wa nchi hiyo. Kama mkuu wa tawi la utendaji na mkuu wa serikali ya majimbo, rais ndiye mwenye cheo na madaraka makuu zaidi katika nchi ya Marekani. Rais pia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Marekani. Kuchaguliwa kwa rais wa Marekani ni kupitia mfumo wa wawakilishi wenye kura (electoral college), ambapo rais huchaguliwa kwa muhula wa miaka minne. Inawezekana pia kwamba rais achaguliwe kupitia katika Nyumba ya Wawakilishi ya Marekani, ikiwa kongamano la wajumbe halikuweza kumchagua rais kwa kumpa mgombea mmoa kura nyingi kuliko mwingine yeyote. Kulingana na Katiba ya Marekani, mtu yeyote hawezi kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo zaidi ya mara mbili. Kukitokea kifo, kujiuzulu au kuondelewa mamlakani kwa rais, Makamu wa Rais wa Marekani atachukulia kiti cha rais. Orodha hii inajumulisha tu wale watu ambao waliapishwa kama rais kufuatia kupitishwa ka Katiba ya Marekani hapo 4 Machi 1789.
Adlai Stevenson
Adlai Ewing Stevenson alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Grover Cleveland kuanzia mwaka wa 1893 hadi 1897. Stevenson alikuwa mwenyeji wa jimbo la Illinois akawasilisha jimbo hilo katika bunge la kitaifa miaka 1875-1877
Hebe Camargo
Hebe Maria Camargo alikuwa mwimbaji na mwigizaji ya Brazil
Kiwumboko
Kiwumboko ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wawumboko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwumboko imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiwumboko iko katika kundi la A20
Hifadhi ya Serengeti
Hifadhi ya Serengeti ni eneo kubwa la mbuga na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya Mara na Arusha ikipakana na nchi ya Kenya. Jina Serengeti limechukuliwa kutoka lugha ya Kimasai hasa: "Serengit" humaanisha "Kiwara kisichoisha
Orodha ya Makaizari wa Roma
Orodha hii inataja makaisari wa Dola la Roma kuanzia Kaizari Augusto hadi mwisho wa Dola la Roma Magharibi mwaka wa 476
Rais wa Marekani
Rais wa Marekani ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali ya Marekani. Rais ni afisa anayechaguliwa na wawakilishi wanaopatikana katika uchaguzi wa urais unaotekelezwa katika kila jimbo la nchi
Wadigo
Wadigo ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Tanga, hasa kwenye mji wa Tanga. Pia wako Kenya wanapoishi upande wa Kusini wa mji wa Mombasa. Katika Kenya huhesabiwa kati ya mijikenda
Mary Oliver
Mary Oliver alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani
Rudyard Kipling
Rudyard Kipling alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aliandika riwaya fupi kwa ajili ya kutetea ukoloni. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya