Nomino za pekee

Nomino za pekee ni maneno yanayotaja majina mahususi ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya pekee. Maneno hayo yanapoandikwa lazima yaanze na herufi kubwa mwanzoni.MifanoDar es Salaam kuna msongamano wa magari sana Nairobi hakuna wakora wengi Oliver amesafiri kutafuta maziwa ya mbuzi Anna yupo shuleni kujifunza lishe bora Mlima Kilimanjaro una miti mingi ya matunda
Visakale
Visakale ni hadithi fupifupi zinazosimulia matukio ya maalumu ya kihistoria. Matukio haya yanaweza kuwa ya kweli au ya kubuni. Tarihi inaweza kuhusu historia ya wafalme, koo za utawala, kumbukumbu za kutokea kwa koo fulani, magonjwa, vita, njaa na
Nomino za kawaida
Nomino za kawaida ni maneno yanayotaja majina ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya kawaida tu. Watu na vitu hivyo huenda vinafanana kwa kuwa umbo sawa, sifa sawa, na matumizi sawa yanayofanana. Majina haya yanapoandikwa huanza kwa herufi ndogo
Vivumishi vya jina kwa jina
Vivumishi vya jina kwa jina ni aina ya vivumishi ambavyo jina moja hutoa taarifa ya ziada kuhusu jina lenzake.MfanoMbwa mwitu ni wakali sana
Uislamu nchini Namibia
Uislamu nchini Namibia ni dini ya tatu kwa ukubwa baada ya Ukristo na dini za jadi za wenyeji
Uislamu nchini Mauritania
Uislamu nchini Mauritania ndiyo dini inayoongoza. Kwa ujumla watu wa Mauritania wote ni Waislamu wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya Maliki
Alliance for Democratic Change
Alliance for Democratic Change (ADC) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. Chama kimesajiliwa rasmi mnamo mwaka wa 2012
Nomino za dhahania
Nomino za dhahania ni maneno yanayotaja majina ya watu na vitu ambavyo ni vya kufikirika tu. Ni dhana iliyomo ndani ya akili ya mzungumzaji. Watu na vitu hivyo huwezi kuvigusa wala kuviona kwa macho isipokuwa unaweza kuvifahamu kupitia milango ya fahamu
Uislamu nchini Sierra Leone
Uislamu nchini Sierra Leone umekadiriwa kuwa na wafuasi wapatao 4,059,000 ambao wameripotiwa kuwa Waislamu nchini humo hasa kwa mujibu wa sensa waliofanya mnamo mwaka wa 2009. Hili linapendekeza ya kwamba asilimia 71.3 ya jumla ya wakazi wote nchini humo
Uislamu nchini Djibouti
Uislamu nchini Djibouti una historia ndefu, kwanza unaonekana katika Pembe la Afrika wakati wa zama za uhai wa mtume Muhammad. Leo hii, asilimia 94 ya wakazi wa Djibouti ambao wamekadiriwa kuwa 490,000 ni Sunni, wanaofuata mafundisho ya Imam Shafi'i
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya