Nicole Hernandez Hammer

Nicole Hernández Hammer Hernández Estrada) ni mwanasayansi wa hali ya hewa na mwanaharakati Mmarekani mwenye asili ya Guatemala anayesomea ongezeko la usawa wa bahari na athari zisizo sawa za mabadiliko ya hali ya hewa kwa jamii za rangi. Nicole Hernandez Hammer ni mwakilishi wa mazingira kwa Chama cha Wanasaikolojia na alikuwa mkurugenzi msaidizi wa Kituo cha Florida kwa Masomo ya Mazingira.
Leonardo Picciani
Leonardo Carneiro Monteiro Picciani ni wakili na mwanasiasa wa Brazil anayehusishwa na Brazilian Democratic Movement (MDB), na alikuwa katika waziri wa Michezo aliyeateuliwa na Rais Michel Temer. Ni mtoto wa mbunge wa jimbo aliyepigwa marufuku na
Fábio Spina
Fábio Eduardo de Pieri Spina, anayejulikana vizuri kama Fábio Spina. Fábio Eduardo de Pieri Spina ni mkurugenzi wa kisheria wa Gerdau, mwanachama wa uangalizi wa haki za binadamu wa baraza la kitaifa la haki (CNJ) na mwenyekiti wa kamati ya ushindani
Fábio Medina Osório
Fábio Medina Osório ni mwanasheria, mwalimu, na alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Brazil. Fábio Medina Osório ni Mwendesha Mashitaka wa zamani wa Jimbo la Rio Grande do Sul, na aliteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Brazil na Rais wa Muda Michel Temer
Niane Sivongxay
Niane Sivongxay ni mwana Zoologia na Herpetolojia kutoka Laos, ambaye ni Mkurugenzi wa Kituo cha Kikanda cha Maendeleo ya Elimu ya Jamii cha Shirika la Mawaziri wa Elimu ya Nchi za Kusini Mashariki mwa Asia (SEAMEO) na ni Mhadhiri Msaidizi wa Biolojia
Marika Holland
Marika Holland ni mwanasayansi katika National Center for Atmospheric Research anayejulikana kwa kazi yake katika uundaji wa mfano wa barafu ya bahari na jukumu lake katika hali ya hewa ya ulimwengu
Milton Ribeiro
Milton Ribeiro ni mchungaji Protestanti, wakili, mwanatheolojia, mwalimu na alikuwa Waziri wa Elimu wa Brazil
Marie Sanderson
Marie Elizabeth Sanderson alikuwa mwanageografia na climatologist wa Canada
Veronica Vallejos
Veronica Vallejos-Marchant ni Kiongozi wa Idara ya Miradi na Mazingira katika Taasisi ya Antaktiki ya nchini Chile (INACH) na ni mwanachama wa Kamati ya Ulinzi wa Mazingira (CEP). Anachukuliwa kama mtu wa kwanza kuwa mstari wa mbele kwa wanawake wa nchini
Sara Larraín
Sara María Larraín Ruiz-Tagle ni mwanasiasa na mwanaharakati wa mazingira nchini Chile. Sara María aligombea nafasi ya urais katika uchaguzi wa urais wa 1999. Sara María ni mzaliwa katika kabila la Wabaski. Larraín ni mwanachama ya bodi ya
Paula Mourão
Ana Paula Leandro de Oliveira Mourão ni wakili na afisa wa kijeshi wa Brazil ambaye alihudumu kama Second Lady of Brazil kuanzia Januari 2019 hadi Desemba 2022 akiwa mke wa pili wa Makamu wa Rais wa 25 wa Brazil, Hamilton Mourão