Ngwane V wa Uswazi
Ngwane V alikuwa mfalme wa Uswazi kuanzia mwezi wa Februari 1895 hadi kifo chake. Mara aliitwa Mfalme Bhunu pia.
- Robert Merrifield
- Robert Bruce Merrifield alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa pepsini. Mwaka wa 1984 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia
- Meisho
- Meisho alikuwa mfalme mkuu wa 109 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Okiko. Tarehe 22 Desemba 1629 alimfuata baba yake, Go-Mizunoo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 14 Novemba 1643. Aliyemfuata ni mdogo wake Go-Komyo
- Einar Gerhardsen
- Einar Gerhardsen alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei mara tatu, yaani 1945-1951, 1955-1963 na 1963-1965
- Ogimachi
- Ogimachi alikuwa mfalme mkuu wa 106 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michihito. Tarehe 27 Oktoba 1557 alimfuata baba yake, Go-Nara, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 17 Desemba 1586. Aliyemfuata ni mjukuu wake, Go-Yozei
- Hilarión Daza
- Hilarión Daza Groselle alikuwa Rais wa Bolivia kuanzia tarehe 4 Mei 1876 hadi 28 Desemba 1879 alipofukuzwa kutoka utawala na kufuatwa na Narciso Campero. Daza mwenyewe alihamia Ufaransa, na alipojaribu kurudi Bolivia mwaka wa 1894 akauawa kwenye kituo
- Henri Fayol
- Henri Fayol alikuwa mhandisi kutoka nchi ya Ufaransa. Amejulikana hasa kwa kueleza nadharia ya utawala wa uchumi. Aliandika kuhusu nadharia hiyo katika kitabu chake cha "Administration Industrielle et Générale" kilichochapishwa mwaka wa 1916
- Reigen
- Reigen alikuwa mfalme mkuu wa 112 (Tenno) wa Japani. Baba yake alikuwa mfalme mkuu Go-Mizunoo. Tarehe 5 Machi 1663 alimfuata mfalme mkuu Go-Sai, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 2 Mei 1687. Mwaka wa 1713 akawa mtawa wa Buddha. Aliyemfuata kama mfalme
- Baeda Maryam I
- Baeda Maryam alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 1468 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Zara Yaqob. Wakati wa utawala wake alifaulu kupata maafikiano ya amani na Muhammad, mwana wa Badlay ibn Sa’ad ad-Din. Alifariki mahali pa Abasi Wera Gabayi
- Trygve Bratteli
- Trygve Bratteli alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei mara mbili, yaani 17 Machi 1971 hadi 17 Oktoba 1972, na 12 Oktoba 1973 hadi 15 Januari 1976
- Uwanja wa michezo wa Goble Park
- Goble Park ni uwanja wa matumizi mbalimbali huko Bethlehem, Dola Huru, nchini Afrika Kusini. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka). Unatumika pia kama ukumbi wa nyumbani na timu ya Free State Stars F.C. na timu ya Super Eagles F.C