Natiri
Natiri ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 11 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 22.98976928. Alama yake ni Na. Jina latokana na chumvi asilia ya natroni alimotambuliwa. Natiri inapatikana duniani ndani ya chumvi cha kawaida cha NaCl kinachopatikana kwa wingi katika maji ya bahari.
- Kriptoni
- Kriptoni ni elementi yenye namba atomia 36 kwenye mfumo radidia na uzani wa atomi 83.79. Alama yake ni Kr
- Xenoni
- Xenoni ni elementi yenye namba atomia 54 kwenye mfumo radidia na uzani wa atomi 131.293. Alama yake ni Xe
- Bismuthi
- Bismuthi ni elementi nururifu yenye namba atomia ya 82 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 209.980.
Jina latokana katika lugha ya Kijerumani lakini maana hayajulikani tena
- Molibdeni
- Molibdeni ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 42 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 95.94. Rangi ya metali tupu ni nyeupe-kifedha
- Jouli
- Jouli ni kizio cha upimaji wa nishati, kazi na joto
- Bromi
- Bromi ni elementi yenye namba atomia 35 katika mfumo radidia maana yake kiini atomia chake kina protoni 35. Uzani atomia ni 79.904 na alama yake ni Br. Ni elementi ya tatu katika safu ya halojeni
- Hafni
- Hafni ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 72 katika mfumo radidia. Jina latokana na "Hafnia" jina la Kilatini la mji wa Kopenhagen ilipogunduliwa mara ya kwanza
- Iodini
- Iodini ni elementi yenye namba atomia 53 katika mfumo radidia maana yake kiini atomia chake kina protoni 53. Uzani atomia ni 126.904 na alama yake ni I. Ni elementi ya nne katika safu ya halojeni
- Uzani atomia
- Uzani atomia ni neno la kueleza masi ya atomi ya elementi ya kikemia. Ni pamoja na masi za protoni, nyutroni na elektroni ndani yake
- Alan Hastings
- Alan Matthew Hastings ni mwanaekolojia wa hisabati na profesa mashuhuri katika Idara ya Sayansi ya Mazingira na Sera katika Chuo Kikuu cha California, Davis