Nahrees

Nahrees ni mhusika wa kubuni ambaye ametengenezwa na kampuni ya kutengeneza filamu ya huko nchini Marekani ijulikanayo kama Marvel Comics. Mhusika huyu ni miongoni mwa wahusika wasiowanadamu ambaye alitumwa katika Dunia mnamo mwaka 1992.
Wes Brown
Wesley Michael Brown ni mwanamichezo wa Uingereza. Alicheza kama beki katika klabu ya soka ya Manchester United F.C. na klabu ya nchini India ijulikanayo kama Kerala Blasters
Guardians of the Galaxy (filamu)
Guardians of the Galaxy ni filamu ya mashujaa ya Marekani iliyotengenezwa na Marvel Comics na kuachiwa na studio za Marvel na kusambazwa na Walt Disney Studios Motion Pictures
Azam Two
Azam Two ni kituo cha matangazo ya televisheni kirushacho matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki. Kituo hiki cha matangazo kinamilikiwa na kampuni ya matangazo Azam Media Group. Kampuni hii inamiliki vituo vingine mbali na kituo hiki, vituo hivyo
Azam One
Azam One ni kituo cha matangazo ya televisheni kinachorusha matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki. Kituo hiki cha televisheni kinamilikiwa na kampuni ya Azam Media Group ambayo ni mali ya mfanyabiashara tajiri wa nchini Tanzania aitwaye Said
Rosalind Franklin
Rosalind Elsie Franklin alikuwa mwanakemia wa Kiingereza na msomaji wa masomo ya kioo cha X-ray ambaye alitoa michango ya kuelewa miundo ya molekuli ya DNA, RNA, virusi, makaa ya mawe na grafiti
Ruud van Nistelrooy
Rutgerus Johannes Martinus "Ruud" van Nistelrooy ni mchezaji wa zamani wa soka na kocha kutoka nchi ya Uholanzi
Unspoken
Unspoken ni mhusika wa kubuni aliyetengenezwa na kampuni ya filamu ya nchini Marekani ijulikanayo kama Marvel Comics
Paul Scholes
Paul Scholes alikuwa ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anafahamika sana kwa sababu ya kucheza klabu ya Manchester United F.C. ya hukohuko nchini Uingereza
Jolen (filamu)
Jolen ni mhusika wa kubuni ambaye amebuniwa na kampuni ya kutengeneza filamu huko nchini Marekani ijulikanayo kama Marvel Comics. Ni mmoja wa wasiobinadamu waliotumwa kama wajumbe katika Dunia
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya