Mtandao wa kompyuta

Mtandao wa kompyuta ni kundi la kompyuta ambazo zimeunganishwa kwa madhumuni ya mawasiliano. Mitandao yaweza kupangwa kulingana na sifa mbalimbali Makala haya yanatoa maelezo ya ujumla ya baadhi ya aina na makundi ya mtandao. Pia inatoa msingi wa vipengele vya mtandao. Mtandao wa kompyuta unaojulikana zaidi ukiwa pia mkubwa kabisa ni intaneti lakini kuna mitandao Mingi.
YouTube
YouTube ni tovuti ya kushirikisha video ambazo watumiaji wanaweza kuzinakili na kuzigawa kwa wengine. Wafanyakazi watatu wa zamani wa PayPal waliunda YouTube mnamo Februari 2005
Pembetatu ya Bermuda
Pembetatu ya Bermuda ni eneo la Bahari ya Atlantiki pande zote mbili za ikweta mbele ya pwani ya Amerika Kaskazini, baina ya Florida, Puerto Rico na visiwa vya Bermuda. Pembe ya kaskazini inaingia katika Bahari ya Sargasso. Tangu mwaka 1964 jina la
Uchambuzi wa SWOT
Uchambuzi wa SWOT ni uwezo, udhaifu, fursa na vitisho ni mbinu ya kimkakati ambayo hutumika kutathmini S uwezo, W udhaifu, O fursa, na T vitisho vinavyopatikana katika mradi au biashara husika. Inahusisha ubainishaji wa lengo la biashara au mradi na
Internet Adult Film Database
Internet Adult Film Database ni uhifadhidata mtandaoni unaohusiana na habari za filamu, vipindi vya waigizaji, vikundi vya watayarishaji wa masuala ya filamu n.k
Bronzi
Bronzi ni aloi ya metali. Kiasi kikubwa ndani yake ni shaba (70-90%) na metali nyingine ndani yake ni stani
Gantt
Gantt ni aina ya chati ya miraba inayosaidia katika kueleza ratiba ya mradi. Chati ya Gantt huonyesha tarehe za mwanzo na kumalizika kwa kila ki[pengele katika mradi na muhtasari wa mradi. Vipengele muhimu na vipengele muhtasari huonyesha mvunjiko wa
Ukaguzi wa masoko
Ukaguzi wa masoko ni mapitio ya uuzaji, mchakato ambao kampuni inaweza kuchukua hatua na hatua ili kupima na kufuatilia ufanisi wa uuzaji wa kampuni yenyewe
Wilaya ya Nyangh'wale
Nyang'hwale ni jina la wilaya mpya katika mkoa mpya wa Geita, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Makao makuu ya wilaya yapo Kharumwa
Mkate
Mkate ni chakula kinachotengenezwa kwa kuoka kinyunga cha unga na maji. Mara nyingi viungo fulanifulani huongezwa kwa kubadilisha ladha. Kuna pia mikate inayotiwa kiasi kidogo cha mafuta
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya