Msela

Msela ni mtu ambaye haoni matatizo. Hufanya anachotaka na hajali watu watafikiri nini. Hata kama msela hafuati serikali na hafanyi anachotakiwa, huyu mtu anapendwa kwa watu wa kawaida kwa sababu si jambazi wala mhuni. Ni mtu poa tu, na ubaya wake unapendwa kwa sababu si kweli ubaya hata kama anaishi "kibadboy". Kwa kweli hata mtu huyu anakuwa na heshima kwa watu wengine ila pengine anaweza kuamua kwamba hana heshima tena.
Maonyesho ya mavazi
Maonyesho ya mavazi ni tamasha la kuvaa linaloandaliwa na wabunifu wa mavazi ili kuonesha mitindo yao mipya ijayo ya mavazi. Katika kuonesha mfano wa mavazi, wanamitindo wanatembea kwenye jukwaa huku wakionesha mavazi yaliyobuniwa na mbunifu
Viwakilishi vya kuuliza
Viwakilishi vya kuuliza ni aina ya neno au maneno yanayosimama badala ya nomino iliyoulizwa
Kiwakilishi nafsi
Kiwakilishi nafsi ni aina ya neno/maneno yanayosimama badala ya majina yanayotaja nafsi za watu. Viwakilishi vya nafsi hugawanyika katika makundi mawili, nayo ni:Viwakilishi vya nafsi huru Viwakilishi vya nafsi
Channel 5 East Africa TV
Channel 5 au EATV ni kituo cha kurushia matangazo ya televisheni kutoka nchini Tanzania. Kituo kinamilikiwa na kampuni ya IPP Media ya nchini Tanzania. Kituo zamani kilikuwa kikiitwa ITV 2, lakini baadaye ilibadilishwa na kuitwa channel 5, hiyo ilikuwa
Inkatha Freedom Party
Inkatha Freedom Party (IFP) ni chama kisiasa kutoka nchini Afrika Kusini. Kwa mwaka wa 2007, chama kinaongozwa na Mangosuthu Buthelezi
Bongsang wa Goguryeo
Mfalme Bongsang wa Goguryeo alikuwa mtawala wa kumi na nne wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea
Sintaksi
Sintaksi ni tawi la isimu au taaluma ya sarufi inayoshughulikia namna ambavyo vikundi vya maneno na sentensi mbalimbali zinajengwa katika lugha. Hasa hushughulikia kanuni zinazotawala mfumo wa vipashio vya lugha. Sarufi muundo hushughulikia kanuni
Risala
Risala ni taarifa fupi inayosomwa mbele ya kiongozi mgeni rasmi kwa niaba ya kundi fulani la watu ili kutoa maelezo au kuonesha msimamo wa kundi hilo kwa kiongozi. Ni aina ya taarifa ambayo hupelekwa mtu au watu fulani inayoelezea haja inayotakiwa
Vivumishi ya kuuliza
Vivumishi vya kuuliza ni maneno yanayouliza taarifa ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino husika.MifanoMzee yupi anaumwa? Miti mingapi imekatwa? Unafanya kazi gani? Chakula kipi kitamu? Mwalimu yupi anafundisha vizuri
Salim Ahmedy
Salim Ahmedy Issa ni mwigizaji, mwongozaji, mwandishi na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Gabo Zigamba. Salim amekuwa akisifika kwa umahiri wake katika kuzishika nyusika tofauti. Anafahamika