Morris O'Brian
Morris O'Brian ni jina la mhusika wa kipindi cha televisheni cha Marekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Carlo Rota.
- Nyandu Tozzy
- Hamidu Salim Chambuso ni msanii wa muziki wa rap kutoka nchini Tanzania
- Martha Logan
- Martha Logan ni jina la mhusika wa kipindi cha televisheni cha Marekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Jean Smart. Akiwa kama mwanamke wa kwanza wa Marekani wa mfululizo wa 24, ana uwezo, lakini ni mwanamama asiyetabirika na asiye sawa wa Rais
- Urafiki Jazz Band
- Urafiki Jazz Band ilikuwa bendi ya muziki wa dansi kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Bendi hiyo ilianzishwa mwaka 1970 ikiwa inamilikiwa na kiwanda cha nguo cha Urafiki kilichokuwa Ubungo
- The Best of Michael Jackson
- The Best of Michael Jackson ni kompilesheni ya vibao vikali vya mwanamuziki Michael Jackson na ilitolewa mnamo mwaka wa 1975 na studio aliokuwa akifanyanayo kazi hapo zamani, Motown. Imeuza nakala milioni 2.2 kwa hesabu ya dunia nzima na kushika nafasi ya
- Bandari ya Sydney
- Bandari ya Sydney ni bandari asilia. Ipo katika pwani ya Mashariki mwa Australia katika Sydney. Bandari ya Sydney pia ipo katika eneo maarufu ya Jumba la Sanaa la Sydney na Daraja la Bandari ya Sydney
- Konvict Muzik
- Konvict Muzik ni studio ya kurekodia muziki inayomilikiwa na mwimbaji wa R&B na hip hop Akon. Mbali na Akon, kuna wanamuziki waliomaarufu kama vile T-Pain, Ray Lavender na Kardinal Offishall ambao wote wamesaini mkataba na studio hiyo. Toka mwanzo nyimbo
- Jumba la Sanaa la Sydney
- Jumba la Sanaa la Sydney ni jumba linalo patikana katika Bandari ya Sydney, katika Sydney, Australia. Jumba linaumbo kama Matanga (sails), na linapatikana mjini Sydney, Australia. Jumba hilo linatumiwa kwa matasha na sherehe mbalimbali za kimataifa huwa
- Mkoa wa Hakkâri
- Mkoa wa Hakkâri ni mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Mji mkuu wake ni Hakkari
- Orodha ya wasanii wa Interscope Records
- Hii ni orodha ya baadhi ya wasanii ambao walirekodi au wanarekodi kwa sasa katika studio ya Interscope Records
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya