Mkataba wa Helgoland-Zanzibar

Mapatano baina Uingereza na Ujerumani kuhusu Afrika na Helgoland yalifanywa kati ya Ujerumani na Uingereza tarehe 1 Julai 1890. Pande zote mbili zilielewana juu ya mipaka ya makoloni yao au maeneo walimotaka kuwa na athira kuu katika Afrika.
Puducherry
Puducherry ni eneo maalumu la kitaifa nchini Uhindi. Ndani yake kuna maeneo madogo manne ya pekee yanayohesabiwa kwa pamoja kama eneo la kitaifa au Union Territory
Bamba la gandunia
Bamba gandunia ni jina lililobuniwa hivi karibuni kwa mapande yanayounda sehemu ya nje ya dunia yetu. Sehemu hiyo ya nje huitwa ganda la dunia na chini yake kuna sehemu ya dunia ambayo ni ya joto kiasi ya kwamba miamba na elementi zote zinapatikana katika
Bamba la Uhindi
Bamba la Uhindi ni bamba dogo katika ganda la dunia. Bara Hindi yenye nchi za Uhindi, Pakistan, Bangla Desh, Nepal pamoja na nchi visiwa za Sri Lanka na Maledivi iko juu ya bamba hilo
Ogaden
Ogaden ni jina la kimataifa la eneo kubwa la Ethiopia ya mashariki. Zamani ilikuwa jina la jimbo linaloitwa leo Jimbo la Somali la Ethiopia
Prussia
Prussia ni jina muhimu katika historia ya Ujerumani pia ya Poland na Ulaya wote. Katika karne ya 19 hadi 1933 sehemu kubwa ya Ujerumani ilikuwa chini ya dola la Prussia lililokuwa awali nchi ya pekee na baadaye jimbo kubwa la Ujerumani
Chandigarh
Chandigarh ni mji wa Uhindi kaskazini. Eneo lake lahesabiwa kama eneo maalumu la kitaifa, si sehemu ya jimbo lolote, lakini wakati huohuo ni mji mkuu wa majimbo mawili jirani, yaani Punjab na Haryana
Alice Lakwena
Alice Lakwena alikuwa kiongozi wa kiroho kati ya Waacholi wa Uganda aliyeanzisha kundi la "Harakati ya Roho Mtakatifu" na kuendesha vita vya msituni dhidi ya serikali ya rais Yoweri Museveni kuanzia Agosti 1986 hadi Novemba 1987
Charles Darwin
Charles Robert Darwin alikuwa mwanasayansi Mwingereza katika karne ya 19
Karthago
Karthago zaidi ya miaka 2000 iliyopita ulikuwa mji mkubwa katika Afrika ya Kaskazini karibu na Tunis ya leo nchini Tunisia
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya