Michael Faraday
Michael Faraday alikuwa mwanasayansi kutoka nchini Uingereza aliyegundua misingi muhimu kwa matumizi ya umeme. Utaalamu wake ulikuwa hasa upande wa fizikia na kemia. Aligundua mdukizo sumakuumeme akaweka hivyo msingi kwa dainamo na mashine za kutengeneza umeme. Upande wa kemia alifaulu kubadilisha gesi kadhaa kuwa kiowevu akagundua kanuni za elektrolisisi.
- Calestous Juma
- Calestous Juma alikuwa mvumbuzi na mtafiti wa sayansi kutoka nchini Kenya aliyefundisha kwenye Chuo Kikuu cha Harvard, Marekani
- Nyawilimilwa
- Nyawilimilwa ni kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30141. Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, idadi ya wakazi wa kata ilikadiriwa kuwa watu 12,443
- Makinikia
- Makinikia ni jina la mchanganyiko wa madini, miamba na wakati mwingine kemikali ambao hutokana na shughuli za uchimbaji wa metali. Metali nyingi kama chuma, shaba au dhahabu hazipatikani kwa umbo safi lakini kama mtapo (ore) ndani ya miamba inayochimbwa
- Raphael Chegeni
- Dr. Raphael Masunga Chegeni ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Busega kwa miaka 2015 – 2020
- Satelaiti
- Satelaiti ni kitu kinachofuatana na kitu kingine. Neno linatumiwa kwa maana mbili ambayo ni:magimba asilia katika anga-nje kama mwezi, na vifaa au vyombo vilivyotengenezwa na kurushwa na binadamu ili kuzunguka dunia kwa kazi mbalimbali, au kwa lugha
- William Tate Olenasha
- William Tate Olenasha alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Ngorongoro kwenye chaguzi kuu za mwaka miaka 2015 na 2020. Mwaka 2020 alifanywa kuwa Naibu Waziri Uwekezaji katika ofisi ya Waziri
- Nape Moses Nnauye
- Nape Moses Nnauye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alihudumia kama katibu wa itikadi wa CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mtama kwa miaka 2015 hadi sasa
- Elias John Kwandikwa
- Elias John Kwandikwa alikuwa mwanasiasa Mtanzania, mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Ushetu kwa miaka 2015 – 2020 akarudishwa mwaka 2020 na kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi
- Joseph Michael Mkundi
- Joseph Michael Mkundi ni mwanasiasa Mtanzania. Alichaguliwa 2015 kuwa mbunge wa Ukerewe kwa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Katika Oktoba 2018 alijiuzulu katika uanachama wa Chadema na kuhamia chama cha CCM. Amehitimu shahada ya utawala biashara kutoka
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya