Mfumo wa Msimbo wa Posta Tanzania

Mfumo wa Misimbo ya Posta ya Tanzania umeanzishwa tangu mwaka 2012. Msimbo wa posta ni namba iliyochaguliwa kwa kila kata nchini. Kila kata ina msimbo wa tarakimu tano.
Standard Swahili-English Dictionary
Madan-Johnson's Standard Swahili-English Dictionary iliandaliwa na wataalamu wa "Inter-territorial Language (Swahili) committee to the East African Dependencies" baada ya Vita Kuu ya Kwanza kwa ajili ya maeneo chini ya utawala wa Uingereza katika Afrika
Sayyid
Sayyid (سيد) ni cheo cha heshima cha Kiarabu kinachomaanisha hasa ukoo wa kiume wa Mtume Mohammad
Mantiki
Mantiki ni elimu jinsi ya kutoa hoja sahihi
Mwatuko wa nyuklia
Mwatuko nyuklia kwa ni mchakato ndani ya atomu ambapo kiini cha atomu kinagawiwa kuwa vipande vidogo zaidi. Mchakato huo unaachisha nishati nyingi ukitumiwa katika tanuri nyuklia na pia katika mlipuko wa silaha ya nyuklia
Mlinganyo
Mlinganyo katika hisabati (aljebra) ni kauli inayosema kuwa viwango viwili ni sawa yaani vinalingana. Milinganyo yote hutumia alama ya
Kilima
Kilima ni mwinuko wa ardhi ambao uko juu kuliko eneo linalouzunguka lakini ni mdogo kuliko ule wa mlima. Vilima ni miinuko ya chini kuliko milima. Kwa lugha nyingine ni mlima mdogo, kama Kiswahili kinavyoonyesha wazi. Uso wa kilima ni imara kuliko ile ya
Mabasi ya mwendokasi
Mabasi ya mwendokasi ni mfumo wa usafiri wa mjini ambako kuna njia za pekee za mabasi kwenye barabara zinazofungwa kwa magari madogo, mabasi ya kawaida na baisikeli. Katika mfumo huu mabasi ya mwendokasi hupewa kipaumbele kwenye njiapanda. Kuna pia mbinu
Bweni
Kwa matumizi tofauti ya neno hili tazama Bweni (Pangani
Qasem Soleimani
Qasem Soleimani alikuwa meja jenerali wa Iran katika Kikosi cha Kiislamu cha Walinzi wa Mapinduzi (IRGC). Kuanzia mwaka 1998 hadi kifo chake mwaka 2020, alikuwa kamanda wa Kikosi cha Quds katika IRGC
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya