Mchai
Mchai ni kichaka ambacho majani, na pengine matawi, yake hutumika kutengeneza chai. Spishi hii inatoka Asia ya Mashariki, ya Kusini-Mashariki na ya Kusini, lakini sikuhizi hupandwa mahali pengi pa kanda tropiki na nusutropiki.
- Mzamaji Koo-jekundu
- Mzamaji koo-jekundu ni ndege wa maji anayehamahama kutoka nusudunia ya kaskazini
- Mboga (mmea)
- Miboga, pia milenge, ni mimea ya familia Cucurbitaceae kwenye jenasi Cucurbita, Momordica na Coccinia. Hukuzwa sana duniani kokote kwa ajili ya matunda yao makubwa yanayoitwa maboga
- Mnavunavu
- Mnavunavu au mzabibu-bata ni mmea au kichaka katika familia Solanaceae ambao unapanda mara nyingi juu ya mimea mingine au egemeo lolote. Matunda yake yalikayo huitwa manavunavu. Kaliksi, ambayo imeunda na sepali, izungashia tunda kama kibofu. Kama tunda
- Chuchunge
- Chuchunge, chuchungi, vidau, viroho, makule, mikeke au misusa ni samaki wa baharini wa familia Hemiramphidae katika oda Beloniformes ambao taya la chini ni refu zaidi sana kuliko taya la juu
- Mbaruti
- Mbaruti au mtunguja bonde ni aina ya mpopi iliyo na maua njano na majani yenye miiba. Mmea huu hutumika katika uganga wa kienyeji, lakini umevamia Afrika kutoka Mexiko na sikuhizi unaletea mashamba shida nyingi
- Mwele
- Mwele au mlezi ni aina ya nafaka ulio na asili yake katika Afrika. Sikuhizi hupandwa mahali pengi katika kanda kavu za dunia. Mbegu zake zinaitwa mawele au malezi
- Sululu-uzuri
- Sululu-uzuri ni ndege wa jenasi Rostratula na Nycticryptes katika familia Rostratulidae. Wakifanana na sululu, kwa kweli wana mnasaba zaidi na sile-maua. Wana rangi kali kuliko sululu na jike, kama yule wa sile-maua, ni mkubwa na ana rangi kali zaidi
- Mjunju
- Mjunju au mchunju ni mti mwenye miiba unaotokea jangwani na maeneo mengine makavu
- Njegere ya kizungu
- Njegere za kizungu ni mbegu za aina ya mimea ambayo hukuzwa sehemu mbalimbali za dunia
- Miloš Jovanović
- Miloš Jovanović ni Mwanasiasa, wakili, na Mwanasayansi wa siasa wa Serbia. Yeye ni rais wa Chama Kipya cha Kidemokrasia cha Serbia na Mfadhili katika Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Belgrade. Alikuwa mgombea wa urais katika Uchaguzi wa 2022