Mboo

Mboo au mboro ni kiungo cha uzazi cha kiume ambacho hupitisha shahawa yenye mbegu kutoka mapumbu kupitia kifuko cha akiba kwa kuingizwa katika kuma.
Bega
Bega la binadamu ni sehemu ya mwili ambapo mkono unaunganika na kiwiliwili. Ina mfupa wa kilimbili, mfupa wa bega na mtulinga pamoja na misuli, mishipa na tendons zinazohusiana. Mchanganyiko kati ya mifupa ya bega hufanya viungo vya bega
Muundi
Muundi ni mfupa mkubwa wa mbele wa mguu ambao unaanzia kifundo hadi goti na umeunganika na mfupa mwingine mdogo ambao umejishikiza kwa sehemu ya pembeni
Mto Nthunguthu
Mto Nthunguthu hupatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya. Nthunguthu ni jina la kiasili la korongo. Nthunguthu ni kijito cha katikati kinachojumuishwa katika kikundi H kihaidrolojia
King'amuzi rada
King'amuzi rada ni kifaa cha teknolojia ya juu kinachotambua iwapo mwendo wa gari unafwatiliwa na polisi au walinda sheria wakitumia tochi ya kutambua mwendo
Mlima Gessi
Mlima Gessi uko katika safu ya milima ya Ruwenzori, kwenye mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda (Afrika
Mto Kanyaiti
Mto Kanyaiti unapatikana katika kaunti ya Nyeri, nchini Kenya. Chanzo cha mto huo ni msitu wa Milima Aberdare upande wa Endarasha
Ubalehe
Ubalehe ni jumla ya mabadiliko ya mwili na ya roho yanayomfanya mtoto kuwa kijana halafu mtu mzima
Simba-milima
Simba-milima au simba wa milimani ni paka mkubwa wa Amerika. Ni katika nusufamilia Felinae
Saa ya mkononi
Saa ya mkononi ni kifaa ambacho hubebwa au kuvalishwa mkononi ambapo hueleza muda
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya