Magofu ya Tongoni

Magofu ya Tongoni ni magofu ya Waswahili yaliyorekodiwa karne ya 15. Magofu hayo ya msikiti na makaburi arobaini yako katika kata ya Tongoni, Wilaya ya Tanga, iliyomo ndani ya Mkoa wa Tanga, nchini Tanzania.
Orodha ya miji ya kale ya Waswahili
Orodha ya miji ya kale ya Waswahili ni orodha ya miji ya kale iliyoanzishwa na Waswahili kuanzia mwaka 800, wakati Wabantu kwenye mwambao wa Afrika mashariki walianza kuzungumza lugha ya Kiswahili na kuumba utamaduni wake, mpaka 1900. Waswahili hao
Mkama Ndume
Magofu ya Mkama Ndume yalikuwa makazi ya Waswahili ya enzi za kati ambayo yaliachwa na wakazi wao katika Karne ya 16 kabla ya kuwasili kwa Wareno Afrika Mashariki na inajulikana kwa uimarishaji wake kwa kutumia mawe
Milango ya Waswahili
Mlango ya Waswahili au mlango wa Kizanzibari ni mlango ambao uliendelezwa katika pwani ya Afrika Mashariki wakati wa Enzi za Kati na kufikia kilele katika karne ya 19. Milango hiyo kwa kawaida ni kipengele cha kwanza kabisa cha muonekano wa <a href
Mnarani, Tanzania
Magofu ya Mnarani ni magofu ya Waswahili yaliyoko Mkoa wa Tanga, Tanzania
Magofu ya Mushembo
Magofu ya Mushembo ni magofu ya kihistoria iliyoko kusini mwa Mkoa wa Tanga, Tanzania
Usanifu majengo wa Waswahili
Usanifu majengo wa Waswahili ni usanifu wa mila mbalimbali za ujenzi zinazotekelezwa au zilizoanzishwa na Waswahili katika mwambao wa mashariki na kusini mashariki mwa Afrika. Badala ya viasili rahisi vya usanifu wa Kiislamu kutoka katika ulimwengu wa
Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya Tanzania
Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya Tanzania ni orodha kuu rasmi ya maeneo mbalimbali nchini Tanzania ambayo yameteuliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania chini katika Kitengo cha Mambo ya Kale. Orodha hii haijakamilika na inafanyiwa kazi kwa
Kisiwa cha Yambe
Kisiwa cha Yambe ni kisiwa kikubwa kuliko vyote vya mkoa wa Tanga, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi
Kisiwa cha Toten
Kisiwa cha Toten ni kisiwa kimojawapo cha Tanzania ambacho kinapatikana katika hori ya Tanga kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya