Lualaba (mto)

Lualaba ni tawimto kubwa la Mto Kongo yaani inabeba maji mengi kuliko matawimto mengine. Inawezekana pia kusema ni jina la mto Kongo juu ya Maporomoko ya Boyoma karibu na mji wa Lubumbashi.
Lambo la Kidatu
Lambo la Kidatu ni lambo la TANESCO lililojengwa miaka ya 1970 kwenye mto Ruaha Mkuu katika mkoa wa Morogoro (Tanzania) ili maji yake yaweze kutumika kuzalisha umeme
Kanisa la Ungamo
Kanisa la Ungamo lilikuwa harakati ndani ya Uprotestanti wa Ujerumani wakati wa utawala wa Adolf Hitler. Ilipinga juhudi zilizofadhiliwa na serikali ya Wanazi za kuunganisha makanisa yote ya Kiprotestanti kuwa kanisa moja la kushikamana na serikali yao
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalitokea katika mwaka 1979 nchini Uajemi (Iran). Yalimaliza utawala wa kifalme wa Shah Mohamed Reza Pahlavi na kuleta dola jipya la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Flora Nwapa
Flora Nwapa alikuwa mwandishi na mhariri nchini Nigeria. Alikuwa mwandishi Mwafrika wa kike wa kwanza aliyechapisha Uingereza na kufahamika kimataifa
Abd el Kader
Abd el Kader, , alikuwa kiongozi wa kijeshi, wa kidini na wa kisiasa nchini Algeria
Kanisa la Anglikana la Tanzania
Kanisa Anglikana la Tanzania ni jimbo la Jumuiya Anglikana Duniani. Makao makuu yake yako Dodoma. Lina dayosisi 28 ambazo ziko 27 Tanzania bara na 1 iko Zanzibar. Kila dayosisi huongozwa na askofu wake
Wamuwahidun
Wamuwahidun walikuwa nasaba ya Waberberi Waislamu waliotawala Afrika ya Kaskazini kutoka bahari Atlantiki hadi Libya pamoja na Al-Andalus yaani kusini mwa Hispania
587 KK
Makala hii inahusu mwaka 587 KK
Prometheus
Prometheus alikuwa mmoja wa miungu wa nasaba ya Watitani katika mitholojia ya Kigiriki. Alitazamwa kuwa mwana wa Iapetos na Clymene, hivyo alikuwa mjukuu wa Uranos. Kati ya miungu mbalimbali ndiye Prometheus aliyeumba binadamu
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya