Kuku Mashuhuri Tanzania

Kuku Mashuhuri Tanzania ni aina mbalimbali za kuku ambao wanafugwa kwa kiwango kikubwa nchini Tanzania.
Kipimajoto
Kipimajoto ni kifaa cha kupima jotoridi
Afrika Mashariki 1800-1845
Afrika Mashariki katika miaka 1800-1845 ilikuwa na mabadiliko makubwa kama ifuatavyo
Utawala wa Kijiji - Tanzania
Utawala wa Kijiji ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji
Utungisho katika wanyama
Utungisho katika wanyama ni kitendo cha seli za gameti ya kiume kuungana na gameti ya kike, na kuunda seli moja ambayo baadaye hukua na kufikia hali ya kiumbe kikubwa
Magonjwa ya kuku
Magonjwa ya kuku ni maradhi yanayoathiri afya ya kuku na kusumbua wafugaji wengi wa kuku, hasa wafugaji wadogowadogo
Antibiotiki
Antibiotiki ni kemikali ambazo hutumika kuua au kuzuia ukuaji wa bakteria zinazosababisha magonjwa
Halogeni
Halogeni, katika kemia, ni simetali za kundi la 17 katika mfumo wa IUPAC katika jedwali la elementi zinazohusiana kwa karibu sana – fluorine, chlorine, bromine, iodine na astatine. Jina la halogeni, au mzalisha chumvi, linaelekeza katika tabia ya kila
Ubingwa wa WWE
Kigezo:Championship Ubingwa wa World Wrestling Entertainment (WWE) ni ubingwa wa uzito wa juu wa mchezo wa mieleka duniani unaotambuliwa na World Wrestling Entertainment (WWE). Ni kielelezo cha ubingwa wa dunia katika Raw na pia ni miongoni mwa vielelezo
Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa
Ukomeshaji wa biashara ya watumwa ni mchakato au mlolongo wa matukio yaliyopelekea ufutaji au usitishaji wa biashara ya watumwa katika karne ya 19
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya