Kitomeo

Kitomeo ni neno pamoja na taarifa zote juu yake zilizomo ndani ya kamusi. Kwa kawaida vitomeo vinapangwa kwa kufuata alfabeti ili iwe rahisi kupata kile kinachohitajika.
Mkazo
Mkazo ni nguvu ya ziada inayotumika kutamka silabi au neno moja kuliko nyingine, hasa vokali, lakini pengine konsonanti pia, kwa mfano "m" katika Kiswahili (alimpa
Mpangilio
Mpangilio ni utaratibu maalumu wa kupanga maneno au mambo ili kuunda sentensi ambazo zinatoa maana na kupendeza, kurahisisha utafutaji, n.k. Kwa sababu hiyo ni tofauti na orodha ambayo mara nyingi hufuata alfabeti tu. Kwa namna nyingine, mpangilio ni
Msonge
Msonge ni aina ya nyumba ambazo zinajengwa kwa mfano wa herufi A kwa kutumia fito, matope na nyasi ngumu juu
Daku
Daku ni chakula maalumu ambacho huliwa na Waislamu wakati wa mfungo wa mwezi Ramadhani
Taka mwili
Taka mwili ni uchafu unaotolewa nje ya mwili wa binadamu na wanyama baada ya kuchujwa: ni kama vile kinyesi, mkojo, jasho
Udadisi
Udadisi ni tabia ya kuchunguza kitu au jambo kwa kina
Kiimbo
Kiimbo ni hali ya kupanda na kushuka kwa mawimbi ya sauti wakati wa utamkaji wa neno au maneno
Vinyeleo
Vinyeleo ni vitundu vidogovidogo vinavyotoa taka mwilini au jasho kwa njia ya ngozi
Ugwadu
Ugwadu ni kisawe cha uchachu; vitu vya namna hiyo ni kama embe bichi, chungwa bichi n.k
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya