Kitemi

Kitemi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Watemi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitemi imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitemi iko katika kundi la E40.
Kikwaya
Kikwaya ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakwaya na Waruri katika mashariki ya upwa wa ziwa Nyanza (Victoria). Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kikwaya imehesabiwa kuwa watu 115,000, yaani Wakwaya 70,000 na Waruri 45,000. Kufuatana
Kikutu
Kikutu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakutu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikutu imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikutu iko katika kundi la G30
Kilambya
Kilambya ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania, Malawi na Zambia inayozungumzwa na Walambya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilambya nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu 45,000; nchini Tanzania ni wasemaji 40,000 (1987); na nchini Zambia kuna wasemaji
Kikahe
Kikahe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakahe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikahe imehesabiwa kuwa watu 2700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikahe iko katika kundi la E60
Kikisi (Tanzania)
Kikisi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakisi. Isichanganywe na Kikisi-Kaskazini nchini Guinea wala na Kikisi-Kusini nchini Liberia; tena ni tofauti na Kikisii nchini Kenya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji ya Kikisi imehesabiwa kuwa
Kiisanzu
Kiisanzu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waisanzu. Wengine kama Maho na Sands 2002 wanaiangalia kuwa lahaja tu ya lugha ya Kinilamba. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiisanzu imehesabiwa kuwa watu 32,400. Kufuatana na uainishaji
Kiikizu
Kiikizu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waikizu. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu-Sizaki imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiikizu-Sizaki iko katika kundi la E40
Kihangaza
Kihangaza ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahangaza. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kihangaza imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihangaza iko katika kundi la D60
Kikimbu
Kikimbu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakimbu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikimbu imehesabiwa kuwa watu 78,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikimbu iko katika kundi la F20
Akuapim-Mampong
Akuapim-Mampong ni mji ulioko wilaya ya Akuapim kaskazini mkoa wa mashariki mwa Ghana. Imepakana na Mamfe