Kitabu cha Yoshua bin Sira

Kitabu cha Yoshua bin Sira ni kimojawapo kati ya vitabu vya deuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo.
Kitabu cha Hekima
Kitabu cha Hekima au Hekima ya Solomoni ni cha mwisho kuandikwa katika ya vitabu vya deuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo
Kitabu cha Obadia
Kitabu cha Obadia ni kifupi kuliko vyote vya Tanakh, na vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo
Kitabu cha Hosea
Kitabu cha Hosea ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh, na hivyo pia vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo
Kitabu cha Nehemia
Kitabu cha Nehemia ni kimoja kati ya vitabu vya Tanakh na hivyo pia vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo
Kitabu cha Sefania
Kitabu cha Sefania ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh, hivyo kinapatikana pia katika Agano la Kale ambalo ni sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo
Kitabu cha Yona
Kitabu cha Yona ni kimojawapo kati ya vitabu vinavyounda Tanakh, kwa hiyo pia Agano la Kale, sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo
Dhambi ya asili
Dhambi ya asili ni jinsi Wakristo wa madhehebu mbalimbali wanavyoita dhambi ya kwanza ya watu ambayo imekuwa asili ya dhambi zote na ya uharibifu wa tabia ya binadamu na ya dunia kwa jumla
Kitabu cha Nahumu
Kitabu cha Nahumu ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya gombo la Manabii wadogo katika Tanakh na kwa hiyo pia katika Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo
Sefania
Nabii Sefania, alikuwa mwana wa Kushi, mtu wa Yerusalemu aliyehubiri kwa nguvu miaka 640-625 hivi KK yaani mwanzoni mwa utawala wa mfalme Yosia, kabla huyo hajaanza urekebisho wake wa kidini uliofuata kuvumbua hekaluni maandiko ya Kumbukumbu la Sheria
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya