Khalilou Fadiga
Khalilou Fadiga alikuwa mwanakandanda wa Senegal na Ubelgiji ambaye mwisho alicheza katika kiungo cha kati kwa klabu ya Germinal Beerschot Antwerpen ya Ubelgiji.
- Simeon Mulama
- Simeon Mulama ni mwanakandanda wa kitaifa wa Kenya aliyestaafu mwaka wa 2009
- Kolo Toure
- Kolo Habib Toure ni mchezaji kandanda ambaye kwa sasa anaichezea, na ni nahodha wa Manchester City,ambayo ni klabu katika ligi kuu ya Uingereza na huichezea timu ya taifa ya Ivory Coast. Touré ni mchezaji wa kati wa safu ya ulinzi, yaani difenda, na
- Maurice Odumbe
- Maurice Omondi Odumbe alikuwa mchezaji wa kriketi mwenye uraia wa Kikenya ambaye alipigwa marufuku kutoshiriki katika mchezo wa kriketi mnamo Agosti 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kutoka kwa watu wasiohalali
- John Ngugi
- John Ngugi Kamau ni mkimbimbiaji wa zamani wa Kenya na mara nyingi huitwa mmoja wa wanariadha bora nchini katika mbio za “cross-country” na ni mshindi wa mita 5,000 katika Olimpiki ya mwaka wa 1988
- Robert Mambo
- Robert Mambo Mumba ni mwanakandanda aliyekuwa kiungo cha kati wa kimataifa wa Kenya
- Lucas Radebe
- Lucas Valeriu Radebe ni mchezaji wa kandanda wa zamani wa Leeds United na Afrika Kusini
- Aziz Ali
- Aziz Ali ni bondia kutoka nchi ya Kenya ambaye alifuzu kushiriki katika Olimpiki ya mwaka wa 2008 katika uzito wa "Light-Heavyweight" katika mchuano wa kufuzu kushiriki katika Olimpiki ya mwaka wa 2008 ya AIBA ya 2 licha ya kubanduliwa nje ya mchuano huo
- Joe Masiga
- Joseph (Joe) Masiga ni mwanakandanda wa zamani wa kimataifa wa Kenya na pia mchezaji wa raga
- Mario Balotelli
- Mario Barwuah Balotelli ni mwanakandanda wa Kiitalia
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya