Katrin Prühs

Katin Pruhs ni mchezaji wa soka wa zamani wa nchini Ujerumani na ambaye alicheza kama mshambuliaji kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.
Sonya Belousova
Sonya Belousova Mtunzi wa filamu, mpiga kinanda na msanii mwenye asili ya Urusi ambaye anaishi katika mji wa Los Angeles, California nchini Marekani. Belousova ni mshindi wa kimataifa wa utungaji katika mashindano ya piano. Alitambuliwa kama prodigy akiwa
Gaspara Stampa
Gaspara Stampa alikuwa mtunzi wa mashairi wa Italia
Chantal Hagel
Chantal Hagel ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani na ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa timu ya wanawake ya 1899 Hoffenheim na timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani
Anna Yaroslavna
Anna Yaroslavna alikuwa malkia wa Ufaransa mnamo mwaka 1051 baada ya kuolewa na Mfalme Henry I. Baada ya kifo cha Henry mwaka wa 1060. alitawala kwa mabavu wakati wa utawala wa mtoto wao Philip wa Kwanza. Ndoa yake ilikumbwa na mabishano yaliyoanzishwa na
Pavlo Shandruk
Pavlo Feofanovich Shandruk alikuwa mkuu wa jeshi la Jamhuri ya kitaifa la Ukraina, kanali wa Jeshi la Poland, na kiongozi mkuu maarufu wa Jeshi la Taifa la Ukraina, kikosi cha kijeshi kilichopigana dhidi ya umoja wa Kisovyeti chini ya amri ya Nazi
Dmytro Zajciw
Dmytro Zajciw alikuwa mwanaakiolojia kutoka Ukraina na Brazil, mashuhuri kwa ukusanyaji na kwa ugunduzi wake mwingi wa wadudu. Alizaliwa huko Velyka Mykhailivka, Ukraina, na alikufa huko Rio de Janeiro, Brazil. Alikuwa mwandishi wa kizazi kipya na
Mykola Radeĭko
Mykola Radeĭko alikuwa ni daktari na mmoja wa viongozi wa Jeshi la Waasi la Ukraina katika Mkoa wa Lemko
Vasiliy Tairov
Vasiliy Egorovich Tairov alikuwa mwanakemia na mwanasayansi kutoka nchi ya Urusi na Armenia. Baada ya kujifunza winemaking nchini Ufaransa, yeye na binamu yake Nerses Tairan walifungua kiwanda cha kwanza cha brandy huko Armenia.Tairov alianzisha
Stefan Terlezki
Stefan Terlezki, alikuwa mwanasiasa wa Uingereza na mhafidhina ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Cardiff West kutoka 1983 hadi 1987. Terlezki alizaliwa huko Antonivka, kijiji kilicho karibu na mji wa Tlumach, mashariki mwa Ukraina lakini wakati huo alikuwa
Ellen Burka
Ellen Burka CM anajulikana kama Danby ni mwanamichezo wa densi ya barafu na kocha kutoka kanada na Uholanzi. Alijiunga na Oda ya kanada mwaka 1978 na kuteuliwa katika Ukumbi wa Watu Maarufu wa Michezo ya kanada mwaka 1996