John Samwel Malecela
John Samwel Malecela ni mbunge wa jimbo la Mtera katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. Pia alishawahi kuwa Naibu Mwenyekiti wa CCM (2005-2009), Waziri Mkuu (1990-1994), Kamishina Mkuu wa Tanzania huko Uingereza (1989-1999), Waziri wa Utamaduni Chakula na Usalama (1975-1980), na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (1972-1975).
- Ushikiliaji Ukale
- Ushikiliaji Ukale ni wazo la kisiasa. Wafuasi wa ushikiliaje ukale, wanaushikilia ukale, kama jinsi mambo yalivyo kwa sasa, au kama jinsi mambo yalivyokuwa hapo awali. Washikiliaje ukale wanaitaka serikali kutenda aidha kulinda jinsi maisha ya sasa
- Uigizaji wa sauti
- Uigizaji wa sauti ni sanaa ya kutoa au kuigizia sauti ya uhusika wa katuni redio na maigizo ya sauti na vichekesho, kufanyia sauti juu yake kwenye redio na televisheni, michezo ya redio, kuigizia sauti za washiriki wa kwenye filamu za lugha za kigeni
- Upangaji
- Upangaji au Urekebishaji ni kazi ya kupanga upya sehemu ya muziki hivyo basi itaweza kutumiwa tena kwa ala tofauti au mchanganyiko wa ala mbalimbali kutoka katika muziki asilia. Kwa mfano, wimbo umetungwa kwa ajili ya sauti moja yenye kusindikizwa na
- Two in One
- Two in One ni wimbo wa kwanza kutoka albamu ya Two in One ya kundi la muziki wa taarab la Jahazi Modern Taarab. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa 2007, ikiwa chini ya utunzi, uimbaji na utayarishaji wake Mzee Yusufu
- Fair use
- Fair use ni suala linalokuwa bora kunakili sehemu ndogo ya kitu kilichoundwa na mtu mwingine bila ya kuvunja sheria
- Tamna
- Ufalme wa Tamna au Tamna guk uliongoza Kisiwa cha Jeju kuanzia kipindi cha kale hadi hapo iliopokuja kuchukuliwa na Nasaba ya Joseon ya Kikorea mnamo 1404. Ufalme huu pia kuna kipindi hujulikana kama Tangna (탁라), Seomna (섭나), na Tammora (탐모라
- Angelique Kidjo
- Angélique Kidjo ni mshindi mara tano wa tuzo ya Grammy kama mtunzi na mwimbaji bora. Kidjo anafahamika sana kwa mtindo wake wa kuchanganya miondoko mbali ya kimuziki, pia kuwa mbunifu mzuri wa sini za video
- Get It Poppin
- "Get It Poppin'" ni wimbo wa rapa Fat Joe akimshirikisha rapa wa po - Nelly na umetoka mnamo mwaka 2005. Wimbo umetolewa ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu yake ya All or Nothing, ya kwanza yake ilikuwa "So Much More," na kuthubutu kushika
- Solomon kaDinuzulu
- Solomon kaDinuzulu alikuwa mfalme wa taifa la Wazulu kuanzia mwaka 1913 hadi kifo chake kilipowadia mnamo tarehe 4 Machi ya mwaka wa 1933 mjini Kambi. Solomo alizaliwa katika kisiwa cha St. Helena wakati huo baba yake alikuwa hapo kiuhamishoni
- Salim Ahmedy
- Salim Ahmedy Issa ni mwigizaji, mwongozaji, mwandishi na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Gabo Zigamba. Salim amekuwa akisifika kwa umahiri wake katika kuzishika nyusika tofauti. Anafahamika